vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,185
- 6,645
Hawa watu wa visiwani kuanzia ngoma kongwe hadi kule pemba ukipita kwenye vijiwe vya kahawa ni hatutaki muungano hatutaki muungano ingawaje kwa sasa wametulia kidogo sijui kwann
Wenzao taiwan wasiotaka muungano na china bara wamejiheshimisha mbele ya dunia wameikataa china mbele ya walimwengu
Na pia kule Taiwan huwezi mkuta mtaiwani anaishi china bara ni mara chache sana wataiwan wanapenda kwenda japan, South korea nk
Hawa wa Zanzibar wanachukia wabara ila kutwa boat zimejaa kuja bara
Wazanzibar onyesheni km kweli mnayoyasema yanatoka moyoni