Zanzibar wamejifunza nini kwa Taiwan?

Zanzibar wamejifunza nini kwa Taiwan?

Watanganyika fikra za kikoloni zimewajaa ndani ya Bongo zao.
 
Ukitaka kujua Wazanzibari wanavyoinyonya Tanganyika pitia hii post
 
Hawa watu wa visiwani kuanzia ngoma kongwe hadi kule pemba ukipita kwenye vijiwe vya kahawa ni hatutaki muungano hatutaki muungano ingawaje kwa sasa wametulia kidogo sijui kwann

Wenzao taiwan wasiotaka muungano na china bara wamejiheshimisha mbele ya dunia wameikataa china mbele ya walimwengu

Na pia kule Taiwan huwezi mkuta mtaiwani anaishi china bara ni mara chache sana wataiwan wanapenda kwenda japan, South korea nk

Hawa wa Zanzibar wanachukia wabara ila kutwa boat zimejaa kuja bara

Wazanzibar onyesheni km kweli mnayoyasema yanatoka moyoni
Evil mind that is who you are.
 
Mkapa nae yukwapi hivi sasa? Nyerere nae yukwapi hivi sasa? Okello nae yukwapi hivi sasa? Si wote ni maiti hao washakufa!!! Jeuri na viburi vyote hivyo, unyanyasaji, mauwaji dhidi ya waarabu/waislamu, je! Wamepata nini!! mwisho wa siku hatunao tena sio!!, kwa maana wamerudi udongoni. Fanya yote utakayo lakini kufa utakufa tuu, jeuri yote hiyo mwisho wao ni mauti tu no way, Na huko walipo watakipata wanachostahili.
Baada ya hao viongozi kuondoka Zbr imeacha kuwa sehemu ya Muungano ?
 
Ni raisi mwenye mamlaka makubwa ya kutoingiliwa kwenye kuteua wakuu wake wa mikoa, wakuu wa taasisi za zenji, raisi kwenye bajeti yake, Raisi alie juu ya kina Mabeyo huyo, n.k
Juu ya mabeyo kama mstaafu, upo sahihi.
 
Taiwan ni nchi huru wanajitegemea


Zanzibar walimzidi akili Nyerere wanajipigia wanavyotaka rasilimali za Tanganyika iliyokubali kuwa mke wa Zanzibar mpaka kubadili jina lake
We kweli ni ***** zanzibar ni koroni letu na tunawachagulia raisi tokea dom
 
Hao wazenj,siku wakileta nyenye nyee!tutawapa kipigo,kile walichopata 2000 kutoka kwa Mkapa,kitqkuwa Cha kitoto,,tutapiga mpaka wanyowe ndevu zao kwa chupa!Zenj,itoke kwenye muungano Ili iende wapi!!

Unachotakiwa kukumbuka ni kwamba Jeshi ni la Ulinzi ni moja, Jeshi la Polisi ni moja

Sasa katika mazingira ya mfarakano hao wanajeshi utawagawa vipi? Au mtabaki kuuwana wenyewe?

Wanaotaka Muungano uvunjike ni wenye nia na kupata madaraka tu hakuna la maana.

Hoja ya kudumisha Muungano ni kiusalama zaidi, kama unajua kuchanganua mambo huwezi kutamani Muungano uvunjike, ni risk sana.
Tazama China Vs Taiwan
Tazama Ukraine Vs Russia ndio utaelewa kwanini Muungano ni muhimu.

Hata EEZ yetu ushawaza tukivunja Muungano itakuwaje?

Nyerere hakuwa fala tumieni akili sana, kama uliwahi kutembea ukafika Ziwa Nyasa ukaangalia mipaka ilivyo utaelewa kwanini tunahitaji kuwa na Ziwa Nyasa
 
Hawa watu wa visiwani kuanzia ngoma kongwe hadi kule pemba ukipita kwenye vijiwe vya kahawa ni hatutaki muungano hatutaki muungano ingawaje kwa sasa wametulia kidogo sijui kwann

Wenzao taiwan wasiotaka muungano na china bara wamejiheshimisha mbele ya dunia wameikataa china mbele ya walimwengu

Na pia kule Taiwan huwezi mkuta mtaiwani anaishi china bara ni mara chache sana wataiwan wanapenda kwenda japan, South korea nk

Hawa wa Zanzibar wanachukia wabara ila kutwa boat zimejaa kuja bara

Wazanzibar onyesheni km kweli mnayoyasema yanatoka moyoni

Rekebisha madai yako, kufikia 2019 karibia 54% ya waTaiwan wote wafanyao kazi nje ya Taiwan [emoji1239] walikuwa China.

WaTaiwan waishio Japan [emoji627] na South Korea [emoji2406] ni wachache sana kiasi walizidiwa na Thailand [emoji1242].

NB: 2014 ilikadiriwa kuwa waTaiwan MILIONI MOJA wanaishi China [emoji630]!
Taiwan wenyewe wapo milioni 23 hivi sasa.
 
Ni situation ilipo Tanzania pia, viongozi wanaitambua Zanzibar kama sehem ya Tanzania
unachanganya madaf mkuu , China inaitambua Taiwan kama sehem yake ,ila Tanganyika na Zanzibar ndo zinaunda Tanzania ila sio kwamba kuna nchi inaitws Tanzania inataka kuimeza Zanzibar hapana
 
Back
Top Bottom