Zanzibar wamejifunza nini kwa Taiwan?

Zanzibar wamejifunza nini kwa Taiwan?

Mkapa nae yukwapi hivi sasa? Nyerere nae yukwapi hivi sasa? Okello nae yukwapi hivi sasa? Si wote ni maiti hao washakufa!!! Jeuri na viburi vyote hivyo, unyanyasaji, mauwaji dhidi ya waarabu/waislamu, je! Wamepata nini!! mwisho wa siku hatunao tena sio!!, kwa maana wamerudi udongoni. Fanya yote utakayo lakini kufa utakufa tuu, jeuri yote hiyo mwisho wao ni mauti tu no way, Na huko walipo watakipata wanachostahili.
Unavyoongea utadhani nawewe utaishi milele.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hio tukizinguana na US wanaweza wakaja kusema wanaitambua Zanzibar Kama nchi huru? hatari Sana
 
Nchi gani rais anatotolewa dodoma
Ni raisi mwenye mamlaka makubwa ya kutoingiliwa kwenye kuteua wakuu wake wa mikoa, wakuu wa taasisi za zenji, raisi kwenye bajeti yake, Raisi alie juu ya kina Mabeyo huyo, n.k
 
Hawa watu wa visiwani kuanzia ngoma kongwe hadi kule pemba ukipita kwenye vijiwe vya kahawa ni hatutaki muungano hatutaki muungano ingawaje kwa sasa wametulia kidogo sijui kwann

Wenzao taiwan wasiotaka muungano na china bara wamejiheshimisha mbele ya dunia wameikataa china mbele ya walimwengu

Na pia kule Taiwan huwezi mkuta mtaiwani anaishi china bara ni mara chache sana wataiwan wanapenda kwenda japan, South korea nk

Hawa wa Zanzibar wanachukia wabara ila kutwa boat zimejaa kuja bara

Wazanzibar onyesheni km kweli mnayoyasema yanatoka moyoni
Wataiwan wako wengi sana mainland chief.
 
Akili fupi fupi zinashida sana, sasahiv wa2 wanafanyia kaz mawazo ya mwalimu J.K Nyerere kuhusu kuiunganisha Afrika, bendera ya East Africa inazidi kuwa na maana. Japo at least maana ya umoja kwa waafrika inaonekana hata kama sio kuwa nchi moja kabisa. Tuache kuona urefu wa pua.
 
Back
Top Bottom