Mkuu sijui lini ilikuwa mara yako ya mwisho kupanda boti kutoka Tanganyika kuja Zanzibar..
Kwa ufupi ukipanda boti kutoka Tanganyika kuja Zanzibar,ndani ya boti huwa na Wazanzibari wachache sana..
Kwahivi sasa hali inatisha Zanzibar,Zanzibar imevawiwa na Watanganyika..kile kiswahili fasaha cha Zanzibar hukisikii tena hapa Zanzibar..
Kila kona ya Zanzibar kuna watanganyika,kuanzia mama nitilie,mafundi garage,wafanyakazi wa ndani,fundi saramala,wafanyakazi mashambani,mahotelini,wauza karanga barabarani,walinzi,malaya...nk wote ni Watanganyika..
Chakusikitisha zaidi hata omba omba wa Mitaani ni jamaa zetu wa Kitanganyika,huwa najiuliza hivi mtu unavukaje bahari kuja Zanzibar kuomba??..
Mungano ni janga,ni makosa makubwa yaliyofanywa na wanasiasa wa Zanzibar
Nchi yenye watu milioni moja,(1000,000)haiwekeni ikaungana na nchi yenye watu zaidi ya milioni stiini(60,000,000),halafu ukawaachia watu milioni 60 kuvamia sehemu ndogo yenye watu milioni moja bila ya uangalifu na mipango maalumu
Mamlaka kamili,Mungano wa serikali tatu,Zanzibar iwe na uhuru wa kujiamulia ndio solution ya hili janga..
Mungano sio kitu kibaya lakini sio Mungano huu,unakiwa Mungano wa haki sio ubabaishaji