Zanzibar toeni mrija wekeni bomba la kunyonya mali za watanganyika maana tumelala sana na kusikia kwa kenge ni mpaka masikio yavuje damu.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,450
Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar

Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba, wale wanaotetea kama kina mpina hawapo wengi wanahesabika, wengi wapo nyuma ya keyboards wakitumia id feki na vpn, hawana madhara ni waoga cowards !

watanganyika wamelala kaisi cha kutochukua hatua yoyote hata wanapoitwa "Kenge" ! yani ishu iliishia kwa malalamiko ya mtandaoni nyuma ya keyboard na baada ya siku 3 maisha yakaendelea kama kawaida

Zanzibar inaweza kuwa nusu Dubai ni suala la kujipanga vizuri tu, njia ni nyeupe kuzipiga mnada mali za watanganyika, kuchepusha kodi za watanganyika, kuhamisha misaada na mikopo ya Tanganyika, n.k.
 
Kuliko kukuza fitina shawishi sisi huku bara tuanzishe kwa wingi biashara za kizalendo. Tatizo letu anapoanza kuendelea mmojawetu badala ya kumuunga mkono tunamuanzishia maneno ya kutaka kumshusha chini!.

Zanzibar ni ndogo sana kiasi cha kutufanya sisi huku bara kwa ukubwa wa eneo letu kuwatolea macho na kuleta nongwa za kipuuzi.
 
Tatizo lilianzia Nyerere aliporuhusu mwenyewe haya mambo, alijali maslahi yake ya muda mfupi ya kuwa Rais na mwenyekiti wa chama kinachotawala Bara na Zanzibar, hakutilia maanani madhara ya makubaliano aliyoingia kwa vizazi vijavyo.

Lilikuwa ni jambo la hatari sana kuruhusu kundi dogo linalofanana vitu vingi na lenye umoja kuwa sehemu ya nchi kubwa sana yenye makundi mengi tofauti, na mbaya zaidi nchi kubwa ikaruhusu mchanganyuko lakini Zanzibar wamekataa kuingiliwa mambo yao mengi.
 
Tatizo lilianzia Nyerere aliporuhusu mwenyewe haya mambo, alifjali maslahi ya muda mfupi ya kuwa Rais na mwenyekiti wa chama kinachotawala Bara na Zanzibar, hakutilia maanani madhara ya makubaliano aliyoingia kwa vizazi vijavyo.

Lilikuwa ni jambo la hatari sana kuruhusu kundi dogo linalofanana vitu vingi na lenye umoja kuwa sehemu ya nchi kubwa sana yenye makundi mengi tofauti, na mbaya zaidi nchi kubwa ikaruhusu mchanganyuko lakini Zanzibar wamekataa kuingiliwa mambo yao mengi.
Wazanzibari wachache sana sawa na mkoa mmoja wa huku bara tena Lindi.

Mwaka 2008 ulikatika umeme huku bara na kule Zanzibar wakaukosa kwa mwezi mzima, ni eneo dogo sana ambalo halina sifa ya kumshughulisha mtu wa bara mwenye kujitafutia riziki ya kila siku.

Tatizo masalia ya JPM bado hamuamini kwamba siku zake zimeshapitwa, kisaikolojia lazima mkubali kubadilika mkiendelea kukariri mtaishia kuja na uzi sawa na huu wenye kujaa manung'uniko na lawama za kila aina.
 
Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar

Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba, wale wanaotetea kama kina mpina hawapo wengi wanahesabika, wengi wapo nyuma ya keyboards wakitumia id feki na vpn, hawana madhara ni waoga cowards !

watanganyika wamelala kaisi cha kutochukua hatua yoyote hata wanapoitwa "Kenge" ! yani ishu iliishia kwa malalamiko ya mtandaoni nyuma ya keyboard na baada ya siku 3 maisha yakaendelea kama kawaida

Zanzibar inaweza kuwa nusu Dubai ni suala la kujipanga vizuri tu, njia ni nyeupe kuzipiga mnada mali za watanganyika, kuchepusha kodi za watanganyika, kuhamisha misaada na mikopo ya Tanganyika, n.k.
Kajifunze akili. Muda wa kwamba huu muungano upo, raia wataendelea kuwa Watanzania mpaka siku ambayo nyinyi, Watanganyika, mutaamua kuuvunja, na hii itatokea tu siku mutayowacha kuiona Zanzibar kama nchi ya kudhibitiwa na ya kuangalliwa wa jicho la uadui na uoga. Wazanzibari ni Watanzania kwa mujibu wa katiba ya JMT na makubaliano ya Muungano ya 1964 na wataendelea kuwa hivyo muda wote muungano huu upo.
 
Zanzibar ni ndogo sana kiasi cha kutufanya sisi huku bara kwa ukubwa wa eneo letu kuwatolea macho na kuleta nongwa za kipuuzi.
Hivi unafikiri T 40+ za ongezeko la deni la Taifa (Tanganyika) kwa kipindi kifupi tu cha miaka 4 zimepotelea kwenye shimo gani??
 
ni eneo dogo sana ambalo halina sifa ya kumshughulisha mtu wa bara mwenye kujitafutia riziki ya kila siku.
Mkuu: Akina Nyerere, Sita, Lukuvi na wengine wa aina yao hawakuliona hili! Hongera kwa kuliona hili. Waambie wengine ili waamini haya unayosema kwani wao na akina wale nilowataja awali hawakuwa na akili hii. Ubarikiwe mkuu.
 
Jamaa za JPM bado hawaamini kwamba muda wake uliondoka rasmi siku alipotangazwa kuwa ameaga dunia.

Kiburi cha kibinadamu cha kujigeuza wao ndio watoa riziki kinawasumbua hawa wanasiasa wengi vijana.

Matokeo yake wanakuja na nyuzi zenye kujaribu kujenga chuki ili Samia kwa uzanzibari wake achukiwe, wanasahau kuwa muda huu anafanya mengi sana ya maana kwa watu wa kawaida.
 
UFISADI NI WAKUTISHA UNAOENDELEA KATIKA HII NCHI SASA HIVI HAWA WAZENJI WAMEAMUA AISEE SISI TUMELALA TU MTU ANAPEWA CHEO ANAHONGWA GARI ROLLS ROYCE KUDADEKI WALAHI ANAACHA NCHI IPIGWE KWA FAIDA YAKE. NDOMANA CHINA WANANYONGA MIJITU KAMA HII
 
Jamaa za JPM bado hawaamini kwamba muda wake uliondoka rasmi siku alipotangazwa kuwa ameaga dunia.

Kiburi cha kibinadamu cha kujigeuza wao ndio watoa riziki kinawasumbua hawa wanasiasa wengi vijana.

Matokeo yake wanakuja na nyuzi zenye kujaribu kujenga chuki ili Samia kwa uzanzibari wake achukiwe, wanasahau kuwa muda huu anafanya mengi sana ya maana kwa watu wa kawaida.
Nenda page ya mangekimambi uone
 
Mkuu: Akina Nyerere, Sita, Lukuvi na wengine wa aina yao hawakuliona hili! Hongera kwa kuliona hili. Waambie wengine ili waamini haya unayosema kwani wao na akina wale nilowataja awali hawakuwa na akili hii. Ubarikiwe mkuu.
Hukuielewa comment ya uliemnukuu!
 
Badala ya k
Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar

Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba, wale wanaotetea kama kina mpina hawapo wengi wanahesabika, wengi wapo nyuma ya keyboards wakitumia id feki na vpn, hawana madhara ni waoga cowards !

watanganyika wamelala kaisi cha kutochukua hatua yoyote hata wanapoitwa "Kenge" ! yani ishu iliishia kwa malalamiko ya mtandaoni nyuma ya keyboard na baada ya siku 3 maisha yakaendelea kama kawaida

Zanzibar inaweza kuwa nusu Dubai ni suala la kujipanga vizuri tu, njia ni nyeupe kuzipiga mnada mali za watanganyika, kuchepusha kodi za watanganyika, kuhamisha misaada na
Badala ya kuongeza mirija titaikata
 
Hivi unafikiri T 40+ za ongezeko la deni la Taifa (Tanganyika) kwa kipindi kifupi tu cha miaka 4 zimepotelea kwenye shimo gani??
Haijapotea hata senti moja. Zimefanya uwekezaji mkubwa sana ambao sisi tunaopiga domo inabidi tuutumie katika kujiinua kimaisha.

Pale Bandarini Tanga imelala bilioni 500, sijaongelea SGR imekula shilingi ngapi mpaka ilipofikia.

Hatujaongelea viwanja vya ndege vinavyokarabatiwa na vingine kujengwa upya. Sijaongelea zahanati zilizojengwa kama uyoga kwenye kila kata huko mikoani.
 
Chai
 
Back
Top Bottom