mchango wa harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar raha, Mchango wa Harusi ni Elfu tano tu, Bara sirudi

    Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa.. Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako. Lakini huko bara mchango eti laki moja.. Gharama ya mbuzi mzima halafu muda wa msosi unaambulia paja la kuku, ubwabwa na...
  2. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Kwani Kuna ulazima wa watu kuchangia mchango wa harusi?

    Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Msituweke kwenye Magroup ya Mchango wa Harusi na Sendoff bila ridhaa yetu!

    Kumekuwa na tabia ya watu wamepanga kuoa na kuolewa kuomba michango. Tabia hiyo imekuwa zaidi miaka ya karibuni kama mtu ana namba yako anaunda group na kukuingiza huko. Wanaopinga michango: Hawa ni wale ambao hawajaolewa, umri umeenda na wamekata tamaa hivyo hawapo tayari kuona wenzao...
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi. Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya. Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Nilitamani kulia kisa mchango wa harusi

    Mar pap jirani kaja nyumbani, kapiga hodi nilikuwa nimelala nimechoka na kazi. kapiga piga hodi na kelele nyingi za kuniita niamke, nikaamka kumsikiliza alafu nilikuwa nimechoka sana na night, akanambia habari nikamwambia salama shikamoo kaanza kunisema sema kwanza kisa nimemwaga majivu ovyo...
Back
Top Bottom