Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Hapo kusini Msimbuji Kuna magaidi, hapo DRC kuna magaidi wa Uganda acheni kuwa na akili za kuku.
Hivi umeelewa nilicho andika au una hemkwa tu. Unadhani mimi sijui kama kuna magaidi ncho jirani? Mkishashiba futari mnapoteza na uwezo wa kufikiri.

Haya karudie kusoma ukishindwa njoo niambie hujaelewa nikuelewa kipwinto wewe.
 
Umeandika ujinga,bahati mbaya upeo wako unakuambia umeandika point. Hii siyo miaka 60.
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.

Kwanza itafute Tanganyika ilipo halafu ongelea kuvunja muungano.
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna
Kama bado unaamini Muungano unaweza kuwa na faida then usije kulia lia machozi na mafua hapa.

Tutafakari faida! Nani atafakari, wewe tafakari halafu uje utuambie!

Hamjui kama faida zipo au hazipo miaka 60 imepita, mtajua lini sasa ????

Yani Tanganyika bado mnabembeleza Muungano ? Mazuzu sana Watanganyika.
 
Suala la nchi/Zanzibar nzima kufungishwa kwa lazima kipindi cha Ramadan lingekuwepo kisheria au kikatiba lingesaidia sana watalii na wengine wasiohusika kukaa mbali na Zanzibar kipindi hiko.

Haifai kuwategea watu wafike kwako kisha unawaletea mambo ya ajabu ajabu kwa kisingizio cha mila, desturi, na utamaduni wa Zanzibar!

If Zanzibar is for one religion only let it be known so formally! Hili suala liingizwe kwenye Katiba au litungiwe sheria ili liwe clear to everyone.
Hivi nyinyi mnaoleta porojo mnajua kuwa Zanzibar ina katiba yake,bendera yake na binge lake maalumu linalojulikana kama Baraza la wawakilishi?! Au mnaona Zanzibar ni Moja ya mikoa ya Tanzania na mh Mwinyi ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar?! Mnapoambiwa Kuna mambo ya muungano na mambo ambayo siyo ya muungano mnaelewa nini?! Mambo ya Zanzibar waachieni wazanzibari nyinyi shughulikeni na mambo ya muungano kama mnayajua!.
Watalii wasipoenda Zanzibar hasara ni ya wazanzibari Sasa sioni mchaga wa huko marangu kupiga kelele kuhusu utalii wa Zanzibar wewe pilipili usiyoila yakuwashia nini?! Waachieni wazanzibari na Zanzibar yao nyinyi shughulikeni na Yale yanayowahusu Allaah!!
 
Hao watu wakiwaga viongozi wa nchi dini hiyo hutumia mwanya huo kufanya mambo ya ajabu. Ni muda wa kutokuzingatia masuala ya dini katika kumpata rais wa Tanzania.
Wakati wa utawala wa Mwinyi walivunja bucha za nguruwe pale Manzese
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake
Mkuu nakubaliana na wewe! Kwa mwingine anaweza kuona kama hii ni hoja nyepesi ambayo inatumiwa na wanaufaika au wenye maslahi na Muungano.
Lakini kiukweli kwa usalama wetu Muungano ni muhimu.
 
Hawa madogo wengi wanachukulia poa kwa sababu hakuna wanachojua juu ya siasa na diplomacy za kimataifa zinavyoenda. Wanaishia kusema nchi jirani kuna magaidi lakini waulize ni lini umesikia TZ kuna magaidi? Si kwa sababu ya Muungano na Zanzibar ila huu muungano nao unasaidia kwa kiasi fulani kutuweka salama pia.
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake
Hizo ni story za kizamani
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
Hao jamaa kipindi wapo utumwani walilazimishwa kutokula na mabwana zao wa kiarabu, sasa wamerithi hiyo tabia wakati ni ya kipumbavu
 
Huwezi kusema hauna madhara. Hujui kwa taratibu za ajabu zisizofuata sheria za nchi zimewafanya watu wangapi wasije Tanzania. Mtalii anaweza kuja Tanzania, akafanyiwa hivyo vitimbwi, na baada ya hapo akasema tu kuwa nchi hii ni ya washenzi, siendi tena, na akawajulisha wale anaowafikia. Huku mnaendelea kuhangaika na kutengeneza filamu, halafu msipate matokeo yoyote ya maana. Wataongezeka watu 10,000, kumbe msingekuwa na mambo ya kipuuzi, wangeongezeka watu 100,000.

Tanzania pamoja na vyote vinavyoitwa vivutio inatembelewa na watalii wachache sana ukilinganisha na mataifa baadhi ya Afrika, kama Kenya, South Africa, Egypt, Morroco na Tunisia.
Tafiti zinaonyesha watalii wengi wanakuja baada ya kusimulia na wenzao, haya Mambo sijui muungani ukivunjika kutakuwa na magaidi ni uongo ni Bora tuuvunje kuliko kuhudumia watu wazima na nguvu zao.
 
Nadhani Waislam wa Zanzibar ndio wanafiki kuliko wote duniani! Kitendo cha wewe kushindwa kuvumilia mtu wa dini nyingine kula chakula wakati umefumga maana yake huna imani, bali ni unafiki tu!

Huu ushenzy unatufanya waTz wote tuonekane viazi tusio na akili!
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake

Basi tuitawale kinguvu, Zanzibar iwe mkoa wa Tanzania hayo mambo ya raisi sijuo katiba sijui bunge vife vyote
 
Pole sana

Hizo is

Wewe ndio mpumbavu zaidi kuliko wao sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani?
Pole binhabib,ndio mstaarabike sasa,acheni upuuzi,someni sana na mtastaarabika tu
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
Utafikiri Zanzibar inatawaliwa na kichwa cha mwendawazimu!
 
Ndio maana nakwambia hii imekuzidi uzito. Toka hao magaidi wafanye huo ugaidi ni muda gani umepita? Je wana kambi zao hapa TZ? Ndio maana nakwambia tafakari vizuri kabla ya kuandika. Sijasema magaidi hawaingii ila nilichomaanisha wao kuweka kambia yao it means watachukua mpaka vizazi vya maeneo husika wawafundishe ushetani. Kitu qmbacho kitakua ni hasara kubwa.

Hao unaosema wapo marekani nitajie wanaoendesha shughuli zao huko au ndani ya taifa la marekani. Nitajie
Kidini Waislamu ni wabaguzi totally wala Mtu wasikudanye ni rahisi Waislamu kuishi sehemu ya waKristo kwa Amani na uhuru wa Dini yake kuliko mkristo kuishi sehemu ya Waislamu Nenda uingereza,Marekani,Mbeya,Spain ufaransa Canada wanadunda TUU Lakini Nenda Iran Iraq,Algeria,Morocco Zanzibar Ni mabaguzi HAYO majaa Huo Ndio ukweli
 
Back
Top Bottom