Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Akili gani sasa hapo umetumia zaidi ya kuandika uozo. Wakati magaidi wakifanya yao hapa Dar huo muungano ulienda likizo, acha hoja za kitoto. Huo muungano una wenye nao.
Ndio maana nakwambia hii imekuzidi uzito. Toka hao magaidi wafanye huo ugaidi ni muda gani umepita? Je wana kambi zao hapa TZ? Ndio maana nakwambia tafakari vizuri kabla ya kuandika. Sijasema magaidi hawaingii ila nilichomaanisha wao kuweka kambia yao it means watachukua mpaka vizazi vya maeneo husika wawafundishe ushetani. Kitu qmbacho kitakua ni hasara kubwa.

Hao unaosema wapo marekani nitajie wanaoendesha shughuli zao huko au ndani ya taifa la marekani. Nitajie
 
Ndo

Kwani ndo umeanza kujua hilo leo!
Ni utamaduni wa wazanzibari miaka mingi na hauna madhara
Kwani Kila mtu ni mzanzibar? Sasa kama unatamani chakula wengine wakila huoni hiyo ni imani haba? Na kwanini hiyo dini iwe lazima kugusa Kila mtu hata asiyeitaka?
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake
Sio kweli unalolisema ni dhana potofu ya kizamani,hivi unafaham mbali na kisiwa cha Zanzibar kuna visiwa kadhaa vilivyo jirani na Tanzania mf visiwa vya Comoro , Madagascar nk,? Mbona Tz ni salama na hao unaowaita magaidi au maadui hawajavitumia visiwa hivyo kutushambulia? Muungano huu ni feki ni wa mabavu na unalindwa na viongozi wachache wa ccm kwa mtutu wa bunduki,l have a dream one day muungano huu utavunjika na sisi watanganyika tutakuwa huru km wazanzibar na maisha yataendelea
 
Comoro na Madagascar wana uhusiano gani na Tanzania kama ilivyo kwa Zanzibar?
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake
Wewe unadhan muungano upo kwa sababu hiyo, au umekaririshwa tu?
Kama kweli unaamini uwepo wa muungano wa namna hii ni kwa sababu hiyo, basi nchi hii tunazo akili hafifu sana.
 
Hoja yako ni ipi wewe mwenye akili timamu?
 
I
Tanzania pamoja na vyote vinavyoitwa vivutio inatembelewa na watalii wachache sana ukilinganisha na mataifa baadhi ya Afrika, kama Kenya, South Africa, Egypt, Morroco na Tunisia.
ondoe Kenya kwenye orodha hiyo.

Wenyewe watakwambia tutavutia watalii toka Arabuni na kwingineko, ambako watu wa huko hawaoni ajabu kuhusu mambo ya namna hii!

Huu muungano sasa umekuwa ni kuwaburuza waTanganyika. Mwishowe usije ukashangaa hata baadhi ya vijiji huku Tanganyika na wao wakijitangazia sheria za namna hiyo vijijini kwao. Sijui hapo itakuwaje!
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
Weka na hii link kwenye uzi wako

MAPYA YAIBUKA: WALIOKAMATWA KWA KULA MCHANA ZANZIBAR, MWANASHERIA AFUNGUKA 'WANAWAONEA'
 
Kila Nchi ina sheria zake !
Zanzibar ni Nchi iliyoungana na Tanganyika mwaka 1964.
Nao wana Serikali yao ya mapinduzi na pia wanayo katiba yao na sheria zao !!

Ndio maana Rasimu ya Warioba ilikuwa imependekezwa kuwepo na Serikali tatu !!
Zanzibar ni Nchi iliyoungana na Tanganyika na ina sheria zake iheshimiwe 🙏🙏 !
 
Mimi ni mtanzania, kipindi cha mfungo nikila mchana Dar au Dodoma siyo kosa.
Nikila Zanzibar ni kosa.
Na hii ni nchi moja, katiba moja.
Sijui huu ujinga umetoka wapi
Wazanzibari wengi ni wapumbavu sana
 
Wazanzibari wengi ni wapumbavu sana
Zanzibar inavyoonekana ni kama wanaamini Sisi tunawaitaji wa wao kuliko wanavyotuitaji Sisi ,na ndo maana katib yao ni ya kibinafsi Zaid,lakin sisi tunaeza pig chin na tukaweka tarrif Kali ya chakula kutoka uku kwenda ,na vitu vinavyoka kule kuja bara Kodi ya maana na njia za panya zote ikiwemo Bandar bandia unazuia alafu tuone kama wasinge Kula samak mpaka wanuke chunvi
 
Wanakera sana hao watumwa wa dini
 
Wazanzibari bado wako gizani sana linapokuja suala la social welfare.
 
Back
Top Bottom