Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
Ni hatari Kwa afya ya uchumi hisusani kwa ujasusi wa kiuchumi! Watalii sio mbegu useme utazipanda ziote uvune uuze, wakisha ambiwa na balozi zao wasikanyage hapo hata ufanyaje kuijenga hiyo imani waliyo kupa itakuchukua muda usiotegemea! watalii ni watu wanaotafuta utulivu, furaha, afya, amani, na kutokuwa na wasiwasi na usalama vilevile!
Kosa moja la mjinga mmoja linaweza kupageuza Zanzibar paonekane kama Kabul Afghanistan!

Kukemea haitoshi ila hatua zichukuliwe na kwa wale waliofanya tukio la mwanzo kama Demo!
 
Ndio maana nakwambia hii imekuzidi uzito. Toka hao magaidi wafanye huo ugaidi ni muda gani umepita? Je wana kambi zao hapa TZ? Ndio maana nakwambia tafakari vizuri kabla ya kuandika. Sijasema magaidi hawaingii ila nilichomaanisha wao kuweka kambia yao it means watachukua mpaka vizazi vya maeneo husika wawafundishe ushetani. Kitu qmbacho kitakua ni hasara kubwa.

Hao unaosema wapo marekani nitajie wanaoendesha shughuli zao huko au ndani ya taifa la marekani. Nitajie
Wewe una GPA ya 2.0...
 
Wewe unadhan muungano upo kwa sababu hiyo, au umekaririshwa tu?
Kama kweli unaamini uwepo wa muungano wa namna hii ni kwa sababu hiyo, basi nchi hii tunazo akili hafifu sana.
Achana na huyu bwabwa...,
 
Hao watu wakiwaga viongozi wa nchi dini hiyo hutumia mwanya huo kufanya mambo ya ajabu. Ni muda wa kutokuzingatia masuala ya dini katika kumpata rais wa Tanzania.
Pole sana
Huwezi kusema hauna madhara. Hujui kwa taratibu za ajabu zisizofuata sheria za nchi zimewafanya watu wangapi wasije Tanzania. Mtalii anaweza kuja Tanzania, akafanyiwa hivyo vitimbwi, na baada ya hapo akasema tu kuwa nchi hii ni ya washenzi, siendi tena, na akawajulisha wale anaowafikia. Huku mnaendelea kuhangaika na kutengeneza filamu, halafu msipate matokeo yoyote ya maana. Wataongezeka watu 10,000, kumbe msingekuwa na mambo ya kipuuzi, wangeongezeka watu 100,000.

Tanzania pamoja na vyote vinavyoitwa vivutio inatembelewa na watalii wachache sana ukilinganisha na mataifa baadhi ya Afrika, kama Kenya, South Africa, Egypt, Morroco na Tunisia.
Hizo is
Wazanzibari wengi ni wapumbavu sana
Wewe ndio mpumbavu zaidi kuliko wao sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani?
 
Ni hatari Kwa afya ya uchumi hisusani kwa ujasusi wa kiuchumi! Watalii sio mbegu useme utazipanda ziote uvune uuze, wakisha ambiwa na balozi zao wasikanyage hapo hata ufanyaje kuijenga hiyo imani waliyo kupa itakuchukua muda usiotegemea! watalii ni watu wanaotafuta utulivu, furaha, afya, amani, na kutokuwa na wasiwasi na usalama vilevile!
Kosa moja la mjinga mmoja linaweza kupageuza Zanzibar paonekane kama Kabul Afghanistan!
Kukemea haitoshi ila hatua zichukuliwe na kwa wale waliofanya tukio la mwanzo kama Demo!
Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika pole sana
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
Leo hii mnajifanya mnaipenda Zanzibar?
Wakati Kila siku mnaizungumzia kwa chuki

Leo hii mnapenda utalii na maendeleo ya Zanzibar??

Leo hii mnapenda maendeleo ya Zanzibar?

ACHENI UNAFIKI NA CHUKI ZENU ZA KIDINI.

Kuna mambo ya muungano na yasiyo ya kimuungano

Jambo hilo sio la kimuungano

Waachwe wazanzibar wenyewe walimalize.

Nyinyi tulizeni vijambio
 
Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika pole sana
Shida hapo ni udini.

Juzi tu si watu waislamu huko India wameshambuliwa, watu walikuwa wanafurahi na kuwakebehi waislamu kuwa wamekosea kwa nini wakaswali wakati nchi sio ya kiislamu

Leo hawasemi hawo watalii kwa nini wasifiate utaratibu wa wenyeji
 
Na ni lango juu la ushoga na usagaji. Hata aliyeleta dini kwa majahazi akitudi leo atakataa kuleta huo unafiki.
 
Zanzibar inavyoonekana ni kama wanaamini Sisi tunawaitaji wa wao kuliko wanavyotuitaji Sisi ,na ndo maana katib yao ni ya kibinafsi Zaid,lakin sisi tunaeza pig chin na tukaweka tarrif Kali ya chakula kutoka uku kwenda ,na vitu vinavyoka kule kuja bara Kodi ya maana na njia za panya zote ikiwemo Bandar bandia unazuia alafu tuone kama wasinge Kula samak mpaka wanuke chunvi
Usilolijua wazanzibar hawautaki huu muungano

ila huku bara ndio tunaung'ang'ania

By any means, inaonekana bara inafaidika mno kuliko Zanzibar

Kwanza Zanzibar hawana meno, raisi wa Zanzibar ana nguvu ndogo kuliko mkuu wa mkoa wa Dsm
 
Ni hatari Kwa afya ya uchumi hisusani kwa ujasusi wa kiuchumi! Watalii sio mbegu useme utazipanda ziote uvune uuze, wakisha ambiwa na balozi zao wasikanyage hapo hata ufanyaje kuijenga hiyo imani waliyo kupa itakuchukua muda usiotegemea! watalii ni watu wanaotafuta utulivu, furaha, afya, amani, na kutokuwa na wasiwasi na usalama vilevile!
Kosa moja la mjinga mmoja linaweza kupageuza Zanzibar paonekane kama Kabul Afghanistan!
Kukemea haitoshi ila hatua zichukuliwe na kwa wale waliofanya tukio la mwanzo kama Demo!
Hao watalii ndio nini?

Huku bara kuna vivutio kibao vya utalii, tumefaidika navyo nini kama taifa?

Si ndio sisi hadi madawati ya shule tunaomba msaada.

Wewe ukienda Marekani watakuacha uende kinyume na taratibu zao kisa mtalii?

Acheni kuabudia watu kwa kigezo cha utalii
 
Muungano upo ili kuiweka TZ salama. Imagine baada ya kuvunja muungano utashangaa makundi ya kigaidi yanasogea Zanzibar kwa kuweka kambi kabisa. Wakishasogea hapo jua tu usalama wetu utakua mashakani sana. Nasema hivyo kwa maana Zanzibar inaweza rasimishwa kama Islamic state na ikawa inapokea mafao ivyo isiwe na uhuru mkubwa wa kimaamuzi kwenye mambo ya kiusalama na uchumi wake
Hapo kusini Msimbuji Kuna magaidi, hapo DRC kuna magaidi wa Uganda acheni kuwa na akili za kuku.
 
Mimi ni mtanzania, kipindi cha mfungo nikila mchana Dar au Dodoma siyo kosa.
Nikila Zanzibar ni kosa.
Na hii ni nchi moja, katiba moja.
Sijui huu ujinga umetoka wapi
Nchi moja, serikali tofauti na Katiba tofauti
 
Zanzibar inavyoonekana ni kama wanaamini Sisi tunawaitaji wa wao kuliko wanavyotuitaji Sisi ,na ndo maana katib yao ni ya kibinafsi Zaid,lakin sisi tunaeza pig chin na tukaweka tarrif Kali ya chakula kutoka uku kwenda ,na vitu vinavyoka kule kuja bara Kodi ya maana na njia za panya zote ikiwemo Bandar bandia unazuia alafu tuone kama wasinge Kula samak mpaka wanuke chunvi
Asilimia kubwa ya nafaka inayotumika Zanzibar ni mchele nao unatoka nchi za nje kama Pakistan na India na unauzwa bei chee kuliko mchele kutoka Tanzania bara. Hata Sukari Zanzibar ni rahisi kuliko bara na wala Zanzibar hakuna kiwanda kikubwa cha sukari. Kwahiyo kusema kuweka kodi kubwa Kwa mazao kutoka bara wala haitowaumiza wazanzibar sababu watachagua sehemu nyingine ambapo wanaweza kupata bidhaa hizo kwa bei nafuu.
 
Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?
 
Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?
 
Na wizara ya Elimu ilivyo jaa vilaza, wame ongeza combination ya kiislamu ktk biashara ili kujikumba kwa Samia. Wakati ikujua kabisa serikali haina DINI.
 
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani.

Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la Tanzania, ambayo kimsingi ni Tanganyika. Na siku zote anayekopa ndiye anayedaiwa. Lakini pesa hiyo ya mkopo inapelekwa kuijenga Zanzibar, kuna wakati Zanzibar imepewa mpaka 20% ya mkopo.

Wakati Tanzania inahangaika kutafuta mikopo na misaada, inahangaika kuvutia wawekezaji, inahangaika na kufanya jitihada kubwa kuvutia watalii, Zanzibar inadidimiza sekta ya utalii kwa kufanya matendo ambayo kwa vyovyote, yatafifisha utalii.

Huko Zanzibar, watalii wamezuiwa kula hadharani. Ikumbukwe hawa watalii, hawakwenda Zanzibar wakashinde vyumbani, kutalii ni kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali, na wanapotembea, wengine huwa na lunch boxes zao au snacks kama biscuits, n.k. Wamelipa gharama zote, hawakuambiwa kuwa wakifika Zanzibar wote watalazimishwa kufunga au kwenda kulia snacks zao vyooni/mafichoni. Wanaenda kukutana na karaha hii wakiwa wamefika Zanzibar.

Dini ni suala binafsi halitakiwi kulazimishwa kwa mtu mwingine. Anayekula hadharani, kwani amekuwekea wewe chakula mdomoni hata uumizwe na kula kwake? Wewe umeamua kuacha kula mchana kwa kipindi fulani, na kuamua kula wakati wa usiku, kwa nini uwalazimishe na wengine kufanya hivyo hivyo?

Nilitarajia kufunga kungeendana na matendo mema, lakini inaonekana ni kinyume chake kwa upande wa Zanzibar. Je, wanaoendekeza hayo, wamefunga au ni wanafiki wanaotaka kuharibu Taifa kwa mgongo wa dini?

Serikali ya Zanzibar ijitafakari. Haiwezekani Zanzibar wafanye matendo yanayofifisha uchumi wa nchi, halafu wakiwa katika uduni wa uchumi, mzigo unaangukia kwa nchi nzima kuwaokoa.

Tusiwe wanafiki, tukemee kwa nguvu zote unafiki unaoendelea Zanzibar. Kama Zanzibar, haitaki wageni, wanataka kila mmoja akifika Zanzibar awe muislam, waitangazie Dunia, na siyo kuwakerehesha watu wakati tayari wakiwa wamefika Zanzibar.

Sheria za nchi zifuatwe. Nchi yetu inatoa uhuru wa kila mtu kufuata imani yake na yale anayotaamini kwa kadiri ya mafundisho ya dini anayoiamini, bila ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine, alimradi uhuru huo usikiuke sheria za nchi.
We jamaa huna lolote unafiki unakusumhua

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Asilimia kubwa ya nafaka inayotumika Zanzibar ni mchele nao unatoka nchi za nje kama Pakistan na India na unauzwa bei chee kuliko mchele kutoka Tanzania bara. Hata Sukari Zanzibar ni rahisi kuliko bara na wala Zanzibar hakuna kiwanda kikubwa cha sukari. Kwahiyo kusema kuweka kodi kubwa Kwa mazao kutoka bara wala haitowaumiza wazanzibar sababu watachagua sehemu nyingine ambapo wanaweza kupata bidhaa hizo kwa bei nafuu.
Ungekuwa ulishaishi Zanzibar ungejua chakula wanategemea bara 80% na chakula kinatokea tanga na ngalawa ndo zinatumika Sana kutokea tanga na Kati ya vitu gali Zanzibar ni chakula so kama walikudanganya bas bahat mbaya san,vitu vya bei rahis kule ni vya electronic mtumba lakin pia vipya kutokana na taarifu zao kuwa chini Ivo ndo vimejaa apo dar china plaza na sehem nyingine kwahiyo Tanzania ikiamua kugeuza ummoja kuwa uadui Zanzibar atateseka sana lakin Ayo yanawezekana Tu ukiwa na rais kama trup
 
Hao kikubwa tujitenge nao tu ili waanze kuuwana vzr na wakianza kupgana makombora huko wasje Tanganyika watafute pakwenda kufanya ukimbiz.
 
Back
Top Bottom