Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,035
- 27,396
We kibwengo nani kaanza kumtukana mwenzake? Kumbe we unajua kutukana ila ukirudishiwa inauma? Nakufundisha kuwa mstaarabu ukikutana na comment ya mtu mjibu kwa hoja zako sio kuingiza matusi.Halafu huyo punga analazimisha hoja yake na matusi juu. Hajui tumekutana mtandaoni humu.
Haya upo unalia kwenye comment za watu wengine