Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,422
Mijitu kama hii sijui nishsuri ifanywe nini...
Limeshavuta mlungula linakaza "you, you are educated men".
Limeshavuta mlungula linakaza "you, you are educated men".
Hapana, mkuu alishawapa ruhusa ya kupokea hela ya kubrashia viatuDuuuu huyu ndio kazi hana tena! Dah naionea huruma familia yake.
Mzungu anadai haji tena zenji,na polisi anataka lazima amuelewe tu,kuwa huku bongo "ela ya mboga"ni kawaida tuNo hana shida alorecord hii ishu haiwez kua kbwa ka ya Jerry M. Sema afande ndo baaas tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anasema "You are educated man" [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mkuu kwenye FB ..just search kwa tittle ya huu uzi tu utaipata
Njaa bhana!! Hakuona kuwa anarekodiwa poor ali.
You spoil our holiday and tryna shake hand with me?mzungu anakwambia you spoil our holiday
Mkuu Newala wanaishi watu,siyo ng'ombe,wana maisha mazuri na mali asili ya kutosha,wengine ni watoa maamuzi wakubwa tu hapa nchini,kuna wasomi wa kutosha na pesa zilizojaa.Hii too much kiwi gani ya elfu stini.huyu anatakiwa ahamishiwe newala.
Mwacheni Mwenzenu, Mna Uhakika alichukua zaidi ya Tsh 5000, Si Mnakumbuka, Mh. Magufuli alishasema Tsh 5000 ya Kupakia Kiatu rangi sio Rushwa?Na hata Kama amechukua Tsh 60,000 Unaweza Ukakuta wako 12, wenzake akaenda Kuwakatia Tsh. 5000 si atakuwa amesevu? Amakwali Hii Ndiyo Tanzania Ninayoitaka, Kwa Spidi Ninayokwenda nayo hii heeee!
Kwa msaada wa watu wa china,tena ya kisasa!najiuliza yako mjini tu?Si tuliambiwa zenji kuna makamera mitaani mji wote yalisha ng'olewa au hayo makamera yenyewe yanaona matukio ya ugaidi na vibaka tu hao jamaa zetu kamera hazina uwezo wa kuwaona