Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Ingia face book page ya zanzibar resident or resident of zanzibar!
 
"Kwani askari akichukua shilingi elfu tano kuna kosa gani? si ni hela ya kubulashia viatu tu hiyo? rushwa tunayopambana nayo ni ile watu kunyakua mabilioni ya walipa kodi,... ..........niwahakikishie watanzania wenzangu......."
 
Du ...
Huyo ndio kazi kwishney hadi kesho jioni Mwigulu atakuwa ameshaiona hii video...
Itakuwa bora zaidi kama watawasiliana na huyo mzungu ili kumueleza hatua zilizochukuliwa na kumkaribisha tena, kwa ajili ya PR tu.
 
Nimecheki hiyo video nimecheka sana. Safi sana polisi hawa wazungu wanamadharau sana wakiwa Afrika.
 
Kiwi Hiyo Punguzeni Maneno
Ally Wa Mahonda

Educated Man Haa Yaani Huo Ndiyo Moyo Ulikuwa Unatafutwa Kuosha Viatu
 
Back
Top Bottom