kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,010
- 650
Rushwa ni jinai na jinai haina chama kilichoihalalisha.Muogope Mungu.Sasa unaitenganisha vipi rushwa na utawala wa Chanzo Cha Matatizo (CCM)
Rushwa ni jinai na jinai haina chama kilichoihalalisha.Muogope Mungu.Sasa unaitenganisha vipi rushwa na utawala wa Chanzo Cha Matatizo (CCM)
Alijua mzung atapotezea kmbe kasala knoumer "Never again to Zanzibar" [emoji117] Cool down[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji13] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kimeota nyas taarHahahahaaaa Mr educated man!!! Hata mutoto ndogo ya muzungu ni educated! Si inaongea kizungu!halafu muzungu yenyewe ako na pesa kwa mkono! Lazima ulainishe lugha mazee
CCM na Rushwa wamefunga pingu za maisha.Rushwa ni jinai na jinai haina chama kilichoihalalisha.Muogope Mungu.
hao ndio walinzi wa Lipumba aliopewa na ccm rushwa rushwa rushwa kweli mapanga shaaa kaamua kukusanya pesa za ndege nyingine.Uilete siasa kwenye swala la rushwa
Weka akiba ya maneno ndg.Mungu anakuona.CCM na Rushwa wamefunga pingu za maisha.
Tamaa.. hata anampa mkono mzungu unapuuzwa!!! Aiybu tupu !!Huyo meja mshenzi,aende na maji tu
Mnamuonea mbona hamuwafukuzi wale wanaokwamisha ufungaji flow meter bandarini?Huyo meja mshenzi,aende na maji tu
Mkuu ondoa shaka kwenye hili sababu kwa sasa haitawezekana kwa kuwa msanii kova keshastaafu anakula mafao ya dhurumaDaaah!! Yaani readyhanded!! Hahahaaa,ila nna mashaka. Kama aliyepiga hiyo picha hataingia matatani! Si mnakumbuka yaliyompata Jerry muro alipowafumania mapoti wakikwarua mrungura? Alipachikwa vikesi visivyo na idadi! Mara pingu mara bastola mara bunduki mara----Hatari sana.
Ungeacha huo uongo wako ingekua jambo la kupendeza manake unaweza ukatakiwa kuthibitisha alafu uanze ohoo ulimi uliteleza.hao ndio walinzi wa Lipumba aliopewa na ccm rushwa rushwa rushwa kweli mapanga shaaa kaamua kukusanya pesa za ndege nyingine.
swissme
Kwa hili mungu ni shahidi yangu na afande Alli ni kielelezo cha utawala wa CCM namna walivyoifikisha nchi yetu katika rushwa na ufisadi.Weka akiba ya maneno ndg.Mungu anakuona.
MSD HAKUNA DAWA KUNA PANADOL 17823 kwa watanzania wote.Ungeacha huo uongo wako ingekua jambo la kupendeza manake unaweza ukatakiwa kuthibitisha alafu uanze ohoo ulimi uliteleza.
Umeona eeehh. Kwanza ana makosa mawili huyu afandeTamaa.. hata anampa mkono mzungu unapuuzwa!!! Aiybu tupu !!
Hiyo labda pesa ya viatu,huyo habari yake imeshakwisha atabakia historia kwamba alikuwaga PolisiPESA YA KIWI ANACHUKUA ALIYORUHUSU MKUU WA KAYA
Waache tuu maana wanatumiaga nguvu nyingi kuliko akili,sasa hapo ndio kafanya nini sasa?
Huyo askari aliyefanya hapo ni mmoja tu,ingekua kila askari anafanya hivyohivyo Kilio kingekua kikubwa mno,siungi mkono alichofanya ,ila mnyonge mnyongeni lkn haki yake mumupe.Kwa hili mungu ni shahidi yangu na afande Alli ni kielelezo cha utawala wa CCM namna walivyoifikisha nchi yetu katika rushwa na ufisadi.
Umeona eeehh. Kwanza ana makosa mawili huyu afande
1. Anawaelekeza hao watalii jinsi ya kuwadanganya polisi. Eti wakikamatwa tena wasionyeshe hiyo permit..waseme walikamatwa hawajafunga mikanda so leseni imezuiliwa polisi hadi j4 watakapohitajika kwenda mahakamani.
2. Kala rushwa. Kwanza amekula mara mbili ya faini halali. Maana kosa la kutokuwa na leseni fine ni 30,000...yeye kala 60,000. Dah!
Tunasubiri mtukufu amalize chai tumuombe aje alishughulikie maana alisema akiambiwa ni dakika 5 tu anamaliza kila kitu.Si unajua rais wetu ni mpolekuna hatua zozote zimechukuliwa