Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Tatizo la zantel ukiwa mikoa mingine inabid vocha ufanye kusafir uende mkoa mwingne kuzitafuta[emoji23]
Hapana,unaweza kununua kupitia menu ya tigo pesaTatizo la zantel ukiwa mikoa mingine inabid vocha ufanye kusafir uende mkoa mwingne kuzitafuta[emoji23]
Weka pesa ezypesa nyambafZantel vocha ni shida
Zantel kwa tigo pesa!!!!!!! Mbona hazimatchHapana,unaweza kununua kupitia menu ya tigo pesa
Weeeeee kagua tena vimepunguzwaaaaaBado nipo Halotel
![]()
![]()
Mawazo yangu yalikuwa TTCLZantel kwa tigo pesa!!!!!!! Mbona hazimatch
Hii kwangu mimi ndo 3g TTCLMimi niko dodoma mzee....ttcl wanajitahidi kiukweli..... 2mb/sec
Cha kwanza kila siku wanapunguza mb na kingine kama una kifaa cha 4g alafu upo halotel au airtel basi ni kama una demu mkali alafu una tatizo la nguvu za kiume haha samahani kwa huu mfano ila uzuri wa hawa jamaa ni mmoja tu naskia mikoani 3g yao haisumbui hili ndo zuri lao.Ivi wakuu ,Halotel imekuaje ??? Mimi natumia Halotel na ninalain mbili ..
Hamna mtandao makini km Halotel ...
Shida niipi ??? Kila siku naona watu wanalalamika ,,shida nini ??
Cha kwanza kila siku wanapunguza mb na kingine kama una kifaa cha 4g alafu upo halotel au airtel basi ni kama una demu mkali alafu una tatizo la nguvu za kiume haha samahani kwa huu mfano ila uzuri wa hawa jamaa ni mmoja tu naskia mikoani 3g yao haisumbui hili ndo zuri lao.
4G kifaa kwa Halotel nilichogundua ndo internet ipo slow lkn Nadhan wanafanya makusudi ili ununue vifurushi vyao vinavyosapot kasi zaidi
Mfano ,kanunue kifurushi cha Internet bila kikomo cha mwezi ,pale wameviongezea kasi zaidi kwaiyo kitafaa kutumia kwa simu yako...
Kwan Zantel/TTCL wao wapo vzuri sana nn ??.
Ni watoto wa baba mmoja hao.Zantel kwa tigo pesa!!!!!!! Mbona hazimatch