Zantel ndio plan B baada ya halotel kutubadilishia Gia angani

Bado nipo Halotel

005a4623d2907764e46f3b45f1f0c37b.jpg
7a058f7914f735bd5fd593c1ba457ed9.jpg

Hizo ni rates za zamani
 
Anaetaka bundle aje whatsap hapa nimpe maujanja acheni kuteseka bure....akija mmoja atawashuhudia 0754217829
 
Wakuu naomba kujuzwa nimekimbia halotel nimesajii laini ya zantel garama nafuu sana mwenyewe kujua jinsi ya kujiunga na University offer anipe kod zake.. Laini nimesajili ya chuo ila inagoma kujiunga cha chuo.. Wale wazoefu msaada. View attachment 664283
At last nimepata njia ya kuachana na hawa jamaa. I hate ulaghai wao: yani wamenipa Mb 500, dakika 60+8 na unlimited sms kwa buku only kwa wiki moja then wakaanza mb 350, dk 50+2 kwa bei hiyohiyo, how disappointing they're
Naichukia kila sekunde ninayotumia halotel
 
Back
Top Bottom