Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
Situmii TigoMkuu vocha sio shida unaweza kununua popote ulipo kama utakua na tigo pesa bac unaweza kuhamisha pesa kwenda mitandao mingine na ukishafanya hivyo utaingia tena ezy pesa na ununue muda wako wa maongezi kiasi unachotaka ni rahisi sana mkuu