Zantel ndio plan B baada ya halotel kutubadilishia Gia angani

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Wakuu naomba kujuzwa nimekimbia halotel nimesajii laini ya zantel garama nafuu sana mwenyewe kujua jinsi ya kujiunga na University offer anipe kod zake.. Laini nimesajili ya chuo ila inagoma kujiunga cha chuo.. Wale wazoefu msaada. View attachment 664283
 
Screenshot_20171231-073217.png
 
Nipo njiani maana hawa halotel wameshakuwa mgema
 
Back
Top Bottom