Anachronism dude.Mimi ni mpemba halisi nipo pamoja nawe unaposema turejee home.jee!umesahau usemi unaosema home sweet?OH!MY GOD DITACH ZNZ FROM THE CLAWS OF THESE BLACK INTOXICATED MINDLES TANGANYIKA PEOPLE.HOW CONFORTING TO UNITE WITH SOMALI RATHER THAN TANGANYIKANS.REALY,I REGRET THE UNION.ALL ZANZIBARIS SAY NO UNION.TUWACHENI TUPUMUWWWEEE!
Kila dalili? Nitajie dalili 5 tu ku-justfy u.p.u.p.u wako huuSasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi....
Kila dalili? Nitajie dalili 5 tu ku-justfy u.p.u.p.u wako huuSasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi....
Mtoto wa down town umenifurahisha sana subiri kidogo wazee wa pekosi wajekabisaaa maana tumempa muislam nchi miaka 10 ameiharibu nchi imeoza na udini/ukabila ndio umeongezeka kuliko miaka mingine katika historia ya taifa letu
Jamani kwani Zanzibar ni wapi? I thought tunaichukulia Zanzibar kama sehemu yoyote ile ya Tanzania,,,kuna wengine watasema Rais atoke Shinyanga, wengine atoke Dodoma na n.k,,,watanzania tunataka Rais Mtanzania na Mzalendo
Sisi watu wa Darisalama tuna undugu wa damu wa waunguja, na tumekuwa ndugu kwa miaka mia kadhaa. Muungano ulipokuja umekuta sisi tumeshakuwa ndugu na hakuna Mdarisalama halisi hata mmoja asiyekuwa na ndugu wa damu ambaye ni Muunguja.
Sasa basi, kabla hatujawafukuza wazanzibari, tutawafukuza nyie kwanza mrudi makwenu na waunguja mtawaacha hapa hapa Darisalama.
Kama huwapendi waunguja, wasuburi wakija kwenu huko kama Machame, Nansio, and Kantalamba kisha uwafukuze. Huwezi kumfukuza Muunguja kutoka Darisalama kwa sababu wewe mwenye wazo hilo siyo Mdarisalama.
Au mnadhania Marekani atawasaidieni? Shauri yenu tuu na kiherehere chenu. Kuna siku mtatembea kwa miguu kutoka Dar mpaka nyanda za juu za kokote kule.
haya ni maoni yako tena ya kibaguziElewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.
el anatisha kila kona yupotoka wazenji walipokaa kimya utaratibu wa kubadilishana miula ubadilishwe basi watasubiri sana, kama rais wao tunawachagulia sisi watapata wapi ujasili wa kutuchagulia mtu wa kutuongoza toka kwao? Lkn mwenyekiti ajaribu kuitumia hii mbinu labda ataweza kumpunguza kasi edo maana jamaa anatiririka utafikiri lione messi.
kama dar ni nchi huru sawa watabaki ila kama ni sehemu ya tanganyika waunguja na wapemba lazima warudi kwao....ushawahi kukaa zanzibar uone hawa jamaa walivyo wabaguzi mtanganyika kumiliki ardhi kwao mizengwe kibao .......hapa muungano ukivunjika kila mtu kwao hawa jamaa wapo kila kona ya nchi hii na wala sio dar tusisi watu wa darisalama tuna undugu wa damu wa waunguja, na tumekuwa ndugu kwa miaka mia kadhaa. Muungano ulipokuja umekuta sisi tumeshakuwa ndugu na hakuna mdarisalama halisi hata mmoja asiyekuwa na ndugu wa damu ambaye ni muunguja.
Sasa basi, kabla hatujawafukuza wazanzibari, tutawafukuza nyie kwanza mrudi makwenu na waunguja mtawaacha hapa hapa darisalama.
Kama huwapendi waunguja, wasuburi wakija kwenu huko kama machame, nansio, and kantalamba kisha uwafukuze. Huwezi kumfukuza muunguja kutoka darisalama kwa sababu wewe mwenye wazo hilo siyo mdarisalama.
Au mnadhania marekani atawasaidieni? Shauri yenu tuu na kiherehere chenu. Kuna siku mtatembea kwa miguu kutoka dar mpaka nyanda za juu za kokote kule.