Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

RAIS wa jamhuri hii ni mmoja tu na ameshapita ni
mtu msomi,
makini,
jasiri,
shupavu,
handsome,
hana makundi wala majungu!
ni mchapakazi..... ana sifa lukuki.....
siyo fisadi wala si muoga na ana command respect...

The winner is... low...? zit....? six...? mig.....? tib.....? mwan......?

iiii.... zzzzzzz... ah...!

is..... WIL SLAAAA! VIVA your excellency !!!!!!!!
 
DR .SHEIN
Sifa.
1.Ameweza kuongoza serikali ya umoja kwa umoja na mshikamano
2. Amesimamia ilani ya CCM, Muungano ni wa nchi mbili
3. Kafanya maamuzi magumu , kipindi cha ajari na kumuondoa waziri alipotaka kupotesha muungano kwa manufaa ya umma
3.. Ni msikivu , jusa alipoitataji kujiondoa kamuundoa kwenye serikali.
4. Hana kashfa ya kifisadi kipindi chote cha umakamu wa raisi
5. Kavunja makundi zanzibar ya UPEMBA , UNGUJA NA UBARA (CUF na CCM)
6. aLISHAFIKA IDARA NYETI
7.International figure , keshakuwa raisi , anajulikana kimataifa.
8. Ajasaini mkataba wowote wakuipoteza rasilimali ya Zanzibar
9. Watu wanaanza kufanya Biashara zanzibar kutokea bara , magari ,electronic device(computer, TV) zanzibar BEI CHINI
10.aTAONDOA MANUNGUNIKO YA WANZANZIBAR KM NCHI KUTAKA KUONGOZA MUUNGANO

MEMBE
1.KIMATAIFA KAIVA- MALAWI CONFLICT
2.INTERNATIONAL FIGURE (Known international)
3.CONFIDENCE- Presenting speech Eg UN
4. FROM SMALL TRIBE
5.ATASIMAMIA MASLAHI YA TANZANIA BARA
6.ANA MISIMAMO

VUAI
1.Kesha ongoza idara kubwa kama
Wizara ya mambo ya ndani
Wizara ya Ulinzi

2. Ni mwanahabari mzuri
3. Msimamo wake juu ya muungano unajulikana

Ongezeeni JF

shein uamsho tu wamemshinda,,,,,
membe mtama tu limemshinda
 
hakuna ajuae ya kesho na hakuna mtu dhaifu kama bin adam ,anapanga tuuuuuuuu baada ya kupewa ofa za ajabu ajabu huko baa ,nani kakuambia rais /kiongozi hupatikana kwa style kama hii.....mwombe MUNGU AKUFIKISHE 2015 KAMA ULIYOYASEMA UTAYAONA AU KUYASIKIA.MWISHO NAKUPA POLE.
 
Ni vema kuanza kufikiria kwamba kufikia 2015 Watanzania watakuwa tofauti kabisa, hawatakubari hongo za pesa kama zinazotolewa ndani ya chama kikubwa. natamani Raisi awe maskini ili atuhurumie tulio maskini.
 
ni vema kuanza kufikiria kwamba kufikia 2015 watanzania watakuwa tofauti kabisa, hawatakubari hongo za pesa kama zinazotolewa ndani ya chama kikubwa. Natamani raisi awe maskini ili atuhurumie tulio maskini.

shein ni maskini sana; ndo maana uchumi wa zanzibar unakua
 
Huyo shein mwenyewe kapooza ka urojo, tunahitaj raisi dikteta kwa sasa.
 
Hebu ondoa udini wako hapa. Rais ajaye ni lazima awe Mkristo.

Hii nchi aiongozwi kwa mujibu wa DINI; it is secular state
Ina heshimu dini

Ukristo
uislam
upagani

Ila ni muungano wa nchi mbili Zanzibar na Tanganyika na kupata TANZANIA.

Equal share is needed interm of resources and human power
 
Lowasa for 2015, period!

Hana sifa gani hapo juu , km umuonei, muache apumzike ; hawezi kutumikia mabwana wawili BIASHARA na SIASA.

Nukuu hotuba ya baba wa taifa; km hivyo tutakuwa tunapuuza maneno ya Baba wa Taifa letu ambae utaadhimisha kila mwaka, kwa hotuba na kufuata mienendo yake
 
DR .SHEIN
Sifa.
1.Ameweza kuongoza serikali ya umoja kwa umoja na mshikamano
2. Amesimamia ilani ya CCM, Muungano ni wa nchi mbili
3. Kafanya maamuzi magumu , kipindi cha ajari na kumuondoa waziri alipotaka kupotesha muungano kwa manufaa ya umma
3.. Ni msikivu , jusa alipoitataji kujiondoa kamuundoa kwenye serikali.
4. Hana kashfa ya kifisadi kipindi chote cha umakamu wa raisi
5. Kavunja makundi zanzibar ya UPEMBA , UNGUJA NA UBARA (CUF na CCM)
6. aLISHAFIKA IDARA NYETI
7.International figure , keshakuwa raisi , anajulikana kimataifa.
8. Ajasaini mkataba wowote wakuipoteza rasilimali ya Zanzibar
9. Watu wanaanza kufanya Biashara zanzibar kutokea bara , magari ,electronic device(computer, TV) zanzibar BEI CHINI
10.aTAONDOA MANUNGUNIKO YA WANZANZIBAR KM NCHI KUTAKA KUONGOZA MUUNGANO

MEMBE
1.KIMATAIFA KAIVA- MALAWI CONFLICT
2.INTERNATIONAL FIGURE (Known international)
3.CONFIDENCE- Presenting speech Eg UN
4. FROM SMALL TRIBE
5.ATASIMAMIA MASLAHI YA TANZANIA BARA
6.ANA MISIMAMO

VUAI
1.Kesha ongoza idara kubwa kama
Wizara ya mambo ya ndani
Wizara ya Ulinzi

2. Ni mwanahabari mzuri
3. Msimamo wake juu ya muungano unajulikana

Ongezeeni JF

I can bet you are a Kenyan.
 
Hivi kwa nini watu wakishapewa perememnde wanakurupukia JF kuandika pumba zao?
 
Watanzania hivi karibuni tumeshuhudia makundi mawili makubwa yanayo utaka Urais ie Kundi la Mafisadi kwa upande mmoja na kundi la Wapinga ufisadi.

Kundi la mafisadi lilanonekana lilijipanga muda mrefu na lina fedha nyingi ambazo limekua likizitumia ili mgombea wao aweze kuibukaa mshindi wa kuiwakilisha CCM kama mgombea. Kundi la Wapinga ufisadi nalo limejikita katika kutetea uzalendo zaidi.

Sasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi, na kwakuwa kuna mkinzano mkubwa kati ya makundi haya mawili mimi nashauri kwamba Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atoke Zanzibar.

Hii itakuwa imeyakata kilimilimi makundi haya ambayo yameacha kufanya kazi za kujenga nchi kwa kuwaza Urais tu. Pia hii itafanya Zanzibar nayo itoe walau Rais wa pili wa Muungano maana zaidi ya Mwinyi hakuna mwingine aliyetoka Zanzibar.

Hii itakuwa safi kama vile Mtaange wa kugombea Uspika kati ya Chenge (akiwakilisha kundi la mafisadi) na Sitta aliyewakilisha kundi la kupinga ufisadi.

CCM ilitumia busara na kuyapiga chini makundi yote na kumchagua mwanamama. Naona CCM pia inaweza kumpata compromise candidate kwa kumtoa mgombea Zanzibar.

Hii imekaaje wadau?
 
Zanzibar hii inayotaka kujitenga au? Labda haufahamu kuwa utakapofika uchaguzi mkuu mwingine Zanzibar itakuwa nchi huru
 
Back
Top Bottom