Atoke Zimbabwe
Elewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.
... CCM ilitumia busara .....
CCM hakuna kundi la wapinga ufisadi. wotw walewale wanasaka madaraka. usituletee kelele zako hapa wakati hata wewe ni mtumwa wa haohao.Watanzania hivi karibuni tumeshuhudia makundi mawili makubwa yanayo utaka Urais ie Kundi la Mafisadi kwa upande mmoja na kundi la Wapinga ufisadi.
Kundi la mafisadi lilanonekana lilijipanga muda mrefu na lina fedha nyingi ambazo limekua likizitumia ili mgombea wao aweze kuibukaa mshindi wa kuiwakilisha CCM kama mgombea. Kundi la Wapinga ufisadi nalo limejikita katika kutetea uzalendo zaidi.
Sasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi, na kwakuwa kuna mkinzano mkubwa kati ya makundi haya mawili mimi nashauri kwamba Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atoke Zanzibar.
Hii itakuwa imeyakata kilimilimi makundi haya ambayo yameacha kufanya kazi za kujenga nchi kwa kuwaza Urais tu. Pia hii itafanya Zanzibar nayo itoe walau Rais wa pili wa Muungano maana zaidi ya Mwinyi hakuna mwingine aliyetoka Zanzibar.
Hii itakuwa safi kama vile Mtaange wa kugombea Uspika kati ya Chenge (akiwakilisha kundi la mafisadi) na Sitta aliyewakilisha kundi la kupinga ufisadi.
CCM ilitumia busara na kuyapiga chini makundi yote na kumchagua mwanamama. Naona CCM pia inaweza kumpata compromise candidate kwa kumtoa mgombea Zanzibar.
Hii imekaaje wadau?
galiya, Nguruvi3, takashi, Nonda,
..hii idea ya kupokezana uraisi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni UPUUZI.
..huu muungano pia, kutokana na matusi ya wa-ZNZ, nao umekuwa UPUUZI.
..sasa kwasababu mnapenda UPUUUZI, let me give u an idea.
..tuanzishe nafasi ya "kundi/viti maalum" ktk nafasi ya Uraisi kama ilivyo kwa nafasi za Ubunge.
..katika "Uraisi wa kundi/viti maalum"
Hawaishi malalamiko, yaani wanachotaka ni usawa wa nafasi za kazi. Hutawasikia wakisema wanataka kuchangia uendeshaji wa serikali sawa.Hutasikia wakisema wanataka kulipa umeme kama mwananchi wa mvomero au Malinyi!
Wakati wanadai usawa katika nafasi hizo, wao wapo busy kupitisha miswada ya kumbana Mtanganyika kufaidika na ushirikiano huo. Wanasheria ya ukaazi inayosema kama huna kitambulisho cha Uzanzibar hakuna kazi.
Wanataka TRA iruhusu mizigo yao bure Tanganyika wakati wanakusanya kodi.
Wana baraza lao la mitihani, wakati huo huo hawataki competition na wanafunzi wa Tanganyika,wanataka nafasi za ''viti' maalumu higher education.
Wameshadai wanataka IGP mzanzibar na CDF mzanzibar. Umimi na ubinafsi ndio hulka na utamaduni wa wenzetu.
This time no! tumekuwa baby seater sasa basi. Waende zao. Hawatusaidi lolote wala chochote!
Hatuna namna ya kuwaridhisha, tunatakiwa tukaze uzi tu warejee kwenye nchi yao nzuri yenye mito ya maziwa na asali.
Kama mzanzibar ni compromise ya mwanamke kutoka bara, una maana kuwa mwanamke kutoka bara ni bora kuliko mwanaume mzanzibar? Sitaki kuamini kuwa wewe ni mzenji. Lengo lako katka huu uzi ni kuwadhalilisha wazenji!
Elewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.