Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

Kuna kila dalili Kikwete anapanga mgombea urais CCM 2015 atoke Zanzibar. Wasiwasi wangu ni je akina Lowasa watakubali? Mwaka 2015 wela wela..!!!!
 
Kwani lowassa ni nani?ndio mpanga urais wa tanzania?acha ndoto za mchana
 
Kwani lowassa ni nani?ndio mpanga urais wa tanzania?acha ndoto za mchana

Vivyo hivyo, kwani Kikwete ndo ana mamlaka ya kupanga Rais atoke wapi? Kwanza tuko ktk mchakato wa katiba mpya na bado haijulikani hatma ya muungano.
Pili, nani kasema ni nguzo ya 6 au amri ya 11 kuwa ccm itashinda 2015? Any way, uhuru wa kutoa maoni ni haki ya kila mtu.

na hapo ndipo tutakapochukua nchi tena kwa kishindo...zanzibar hakuna wa kutuongoza sisi watanganyika....mguuuuuuu pandeeee.,.....mguuu legezaa.. tukale urojooo badae! hahahahahha
 
Hapo ndio CDM kiulaiiini tunaingia Magogoni. Wala haina haja ya nguvu nyiiingi.
 
Pili, nani kasema ni nguzo ya 6 au amri ya 11 kuwa ccm itashinda 2015? Any way, uhuru wa kutoa maoni ni haki ya kila mtu.
Hii ya CCM kushinda 2015 umeitoa wapi? Kilichoongelewa hapa ni mgombea uraisi wa CCM, au ndio nyie nyie tu muda wote mnawaza msichosoma?
 
Muungano ndio utavunjikia hapa,na ccm ndio itafia hapa wanataka watuingize tena kwenye maisha ya jehanamu miaka 10.watanganyika hatuko tayari ngoja katiba mpya ije kwanza!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna kila dalili Kikwete anapanga mgombea urais CCM 2015 atoke Zanzibar. Wasiwasi wangu ni je akina Lowasa watakubali? Mwaka 2015 wela wela..!!!!

Yaani mpaka leo kuna akili humu JF ambazo bado zinafikiria Rais lazima atoke CCM tu??? Kweli bado tuna safari ndefu..... Hata hivyo tunahitaji Rais bora bila kujali anatoka upande gani. Haya mambo ya CCM kupokezana kijiti bila kujali uwezo wa mtu ndiyo yametufikisha hapa tulipo. WE'RE NOW A CONFUSED NATION!!! Bora liende!!!
 
Nawashauri wazanzibar wasikubali ccm kuwachagulia rais kutoka bara.zamu yao ilikuwa mwaka 2010 wakadhulumiwa hivihivi safari hii wasikubali.kama ni swala la dini hilo halitakuwa na tatizo kwa sababu vyama vingi vitasimamisha wagombea. sikweli kwamba vyama vyote watasimamisha watu wa imani moja tu bali watasimamisha watu wa imani tofautitofauti watakuwepo waislam,wakristo wapagani n.k. Kazi itabakia kwa mpigakura na siyo lazima ccm ichaguliwe.
 
Atoke Znz hii ya kina Sheikh Farid na Jussa? Never sio wakati huu, itakuwa sawa na kumpa mkeo ukurugenzi wa kampuni wakati anatafuta mwanasheria wa kuandaa talaka yenu. Wapewe tu umakamu na washughulike na mikoko.
 
Yaani rais mzanzibar? Haa wa kazi gani yahe! Si bora tkae bila rais kuliko mla ulojo.
 
DR .SHEIN
Sifa.
1.Ameweza kuongoza serikali ya umoja kwa umoja na mshikamano
2. Amesimamia ilani ya CCM, Muungano ni wa nchi mbili
3. Kafanya maamuzi magumu , kipindi cha ajari na kumuondoa waziri alipotaka kupotesha muungano kwa manufaa ya umma
3.. Ni msikivu , jusa alipoitataji kujiondoa kamuundoa kwenye serikali.
4. Hana kashfa ya kifisadi kipindi chote cha umakamu wa raisi
5. Kavunja makundi zanzibar ya UPEMBA , UNGUJA NA UBARA (CUF na CCM)
6. aLISHAFIKA IDARA NYETI
7.International figure , keshakuwa raisi , anajulikana kimataifa.
8. Ajasaini mkataba wowote wakuipoteza rasilimali ya Zanzibar
9. Watu wanaanza kufanya Biashara zanzibar kutokea bara , magari ,electronic device(computer, TV) zanzibar BEI CHINI
10.aTAONDOA MANUNGUNIKO YA WANZANZIBAR KM NCHI KUTAKA KUONGOZA MUUNGANO

MEMBE
1.KIMATAIFA KAIVA- MALAWI CONFLICT
2.INTERNATIONAL FIGURE (Known international)
3.CONFIDENCE- Presenting speech Eg UN
4. FROM SMALL TRIBE
5.ATASIMAMIA MASLAHI YA TANZANIA BARA
6.ANA MISIMAMO

VUAI
1.Kesha ongoza idara kubwa kama
Wizara ya mambo ya ndani
Wizara ya Ulinzi

2. Ni mwanahabari mzuri
3. Msimamo wake juu ya muungano unajulikana

Ongezeeni JF
 
Kupitisha hilo jina ndio kazi iliyopo mbele ya JK.Maana atakuwa amemsaliti EL kama walivyokubaliana huko walikokutana zamani zile na pesa zao waliochanga kwa ajili ya muungwana!kazi itakuwepo sana yaani BM awe mzee wa Mkasi?atakuwa amepotezwa kabisa maana anakuwa ni fuata upepo wa Pres hana nguvu kivile heri hata awe PM
 
Si mmeanzisha udini nyie wenyewe,
Awamu ya kwanza rais-mkristo(nyerere)
awamu ya pili rais -muislam(mwinyi)
awamu ya tatu rais-mkristo(mkapa)
awamu ya nne-muislam(kikwete)
awamu ya tano-mkristo(lowasa ama cdm(slaa))
pia itabidi zanzibar rais awe mkristo.
 
askari anayeitwa said kauwawa jana huko Zanzibar na ofisi za ccm na makanisa yamechomwa huko visiwani. Chini ya utawala wa SHEIN.. KWELI HUYU ANAFAA. MY HAIR
 
DR .SHEIN
Sifa.
1.Ameweza kuongoza serikali ya umoja kwa umoja na mshikamano
2. Amesimamia ilani ya CCM, Muungano ni wa nchi mbili
3. Kafanya maamuzi magumu , kipindi cha ajari na kumuondoa waziri alipotaka kupotesha muungano kwa manufaa ya umma
3.. Ni msikivu , jusa alipoitataji kujiondoa kamuundoa kwenye serikali.
4. Hana kashfa ya kifisadi kipindi chote cha umakamu wa raisi
5. Kavunja makundi zanzibar ya UPEMBA , UNGUJA NA UBARA (CUF na CCM)
6. aLISHAFIKA IDARA NYETI
7.International figure , keshakuwa raisi , anajulikana kimataifa.
8. Ajasaini mkataba wowote wakuipoteza rasilimali ya Zanzibar
9. Watu wanaanza kufanya Biashara zanzibar kutokea bara , magari ,electronic device(computer, TV) zanzibar BEI CHINI
10.aTAONDOA MANUNGUNIKO YA WANZANZIBAR KM NCHI KUTAKA KUONGOZA MUUNGANO

MEMBE
1.KIMATAIFA KAIVA- MALAWI CONFLICT
2.INTERNATIONAL FIGURE (Known international)
3.CONFIDENCE- Presenting speech Eg UN
4. FROM SMALL TRIBE
5.ATASIMAMIA MASLAHI YA TANZANIA BARA
6.ANA MISIMAMO

VUAI
1.Kesha ongoza idara kubwa kama
Wizara ya mambo ya ndani
Wizara ya Ulinzi

2. Ni mwanahabari mzuri
3. Msimamo wake juu ya muungano unajulikana

Ongezeeni JF

Kwenye blue hatuhitaji mtu wa masuala ya internatinal kwani changamoto za nchi zipo hapa ndani siyo huko nje, watu wenye uzoezfu na nje wanakuwa wanafikiria matatizo ya ndani yatatatuliwa na watu wa international
 
Back
Top Bottom