Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
wewe usanii mtupu kwanini hawarudishi katika chama husika hizo ni political propaganda
 
CCM kwa kujitekenya wenyewe kiboko

Hayo ni Mahaba.Hata wewe unaweza kupanda basi kwenda kuangalia mechi uipendayo kokote Kwa sababu tu ya mahaba na timu hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Watu wwngine ndo wanatakiwa kufungiwa fasta sana na tcra wasitumie kabisa mitandao
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Jameni acheni uongo
 
How did you know that ? mnaleta uongo wa kijinga ili iweje ? kama nyie ndio vijana mliokusanywa masaki na mnalala kitanda kimoja watu watano , basi mnateseka bila faida yoyote na ni bora hiyo nyumba mliyowekwa tufugie kuku .
 
---->>DANGANYENI WAJINGA NA WAPUUZI KWA MIKADI YENU YA KUCHAPISHA GEREZANA/
how stupid is it?
 
Ungeleta tu habari kidogo ungeliaminika...

Lakini baada ya post hii bila shaka hata habari yako ina walakini...

Kagera hali ni nzuri sana kwa CCM, HIYO INADHIHIRISHA ushindi wa kishindo.
 
Eti! 5000 wamerudisha kadi za CHADEMA hiyo ni kadi au Box kawadanganye wasiojua mbinu zenu tupo makini sana mwaka huu.
 
Attachments

  • 1442864378791.jpg
    1442864378791.jpg
    23.7 KB · Views: 178
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

zuzu we
 
Hayo ni Mahaba.Hata wewe unaweza kupanda basi kwenda kuangalia mechi uipendayo kokote Kwa sababu tu ya mahaba na timu hiyo.

mmeshaiga na mahaba pia mwe, kweli maccm ni mburura hawatumii brain zao kabisaa ni kucopy na kupest tu, duh
 
Usi Quote kama huna hoja za kujibu. Mkitumwa au mkisoma
magazeti na blogs za udaku na kuja na umbea wenu hapa mnatakiwa mjiandae kujibu hoja kwasababu kuna watu makini zaidi hapa. Jitetee kwa hoja. Ukiwa ukiwa ukiwa .. ndio nini hiki great thinker..!!

Hoja iliyo ongelewa ni ipi ama kufanya mapenzi na wakimbiz msijifanye welevu mno kumbe ni walemavu wa akili
 
wewe ach UONGO! mbona mimi niliuwepo pale? Au labda walijifungia chumbani ili wasifamike! Inakula kwenu. watu wanataka mabadiliko hayo mengine ni wimbo wa kinjekitile
Wewe siku hizi umehama machame na kwenda bukoba lini?
 
How did you know that ? mnaleta uongo wa kijinga ili iweje ? kama nyie ndio vijana mliokusanywa masaki na mnalala kitanda kimoja watu watano , basi mnateseka bila faida yoyote na ni bora hiyo nyumba mliyowekwa tufugie kuku .

Mbona unaishia how did you know that? Endelee ndg mbwembwe nying AF mbele kiza, Wewe humu sio IG et nikuonyeshe kitand changu afu nimegundua kuwa mnamezeshwa sumu hadi amjielewi sasa masaki ndo kuna wapiga kura peke yake!
 
wewe ach uongo! Mbona mimi niliuwepo pale? Au labda walijifungia chumbani ili wasifamike! Inakula kwenu. Watu wanataka mabadiliko hayo mengine ni wimbo wa kinjekitile

agendi agendi!!!! Huyu ndio magufuli....sisi wakazi wa kanda ya ziwa umetupa raha na kura zetu 100% ziko kwako.....kwanza unatembea wilaya kwa wilaya...... Wewe ndio chaguo letu..... Vijana tunaojitambua tunafuatilia nyendo zako.....wewe ndio tumaini letu..... Wewe ndio mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko ya ukweli tunayoyataka watanzania.....
Hatuamini hawa mawaziri wakuu wawili ambao ndio majemedari wa ukawa walipewa mamlaka ya kuwa viongozi wakuu wa serikali kwa miaka 13 jumla yao katika miaka 20 iliyopita....hawakumbuki hata nini waliifanyia hii nchi....sasa tukiwapa miaka 5 watafanya nini......kazi kubwa walioifanya ni kuhujumu serikali na chama cha mapinduzi..... Sasa ccm imesema basi na imechoka na majizi na mafisadi haya mungu ashukuriwe sana!!!
 
Eti! 5000 wamerudisha kadi za CHADEMA hiyo ni kadi au Box kawadanganye wasiojua mbinu zenu tupo makini sana mwaka huu.

hahaaaa yaani unijifanya una mi confidence kupost na picha kabisa wakati Kweli inaonekana labda macho yako huwa yanaona mabox Sisi tutajuaje??
 
Back
Top Bottom