Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Hao wadogo, hata wahame 100,000,000.mimi sitakaa kamwe nika pungukiwa akili za ulofa nilio jitwisha kwa hiyari yangu mwenyewe nika izalilishe chadema na ukawa kwa ujumla kwa kuhama chama.
 
sasa nyie wanaukawa mnashangaa na mnabisha wakati hukohuko bukoba wagombea wenu wamevurugana,jimbo wamepewa cuf,chadema wameingilia halafu mnategemea kushinda pande hizo,mnaanzaje kushinda??
 
Hivi hamjisikii vibaya kuandika uongo kama huu? Hivi hata nafsi zenu haziwasuti nyie viumbe dhaifu? Haijawahi kutokea hata ndani ya upinzani watu wote hao kujiunga na chama kingine kwa maramoja... Hivi mnajua watu elfu tano wakoje au mnaota njozi za alinacha?
TUMIKIENI KWA HALALI KILE MNACHOLIPWA

Tatizo lenu bavicha mnafiki kila mtu anatumia matope, endeleeni kulalamika na matusi ndo kazi yenu.
 
Alipoitwa dayamondi ndo vigeregere vikasikika mpka magufuli amenote hilo.
 
Hao wadogo, hata wahame 100,000,000.mimi sitakaa kamwe nika pungukiwa akili za ulofa nilio jitwisha kwa hiyari yangu mwenyewe nika izalilishe chadema na ukawa kwa ujumla kwa kuhama chama.
Siku ukijitambua utajutia mawazo yako ya awali, wenzio wakiwa mbali, pole sana.
 
Malori yamefanya kazi kwelikweli,watu wametolewa maruku izimbya,bugabo,na kwingineko.wanafunzi wa rugambwa wameletwa wameletwa na malori hata hivyo wametelekezwa
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

hebu ongea kama mwanamke uliyekamilka wamerudisha kadi za harusi au kitcheni party??
 
Tatizo lenu bavicha mnafiki kila mtu anatumia matope, endeleeni kulalamika na matusi ndo kazi yenu.

Tumikia dayworker yako kwa haki hili sio tusi unless huelewi nini maana ya matusi
Kumbuka mtatakiwa mpeleke mrejesho mwisho wa siku
 
Upumbavu wa propaganda,kwenye kuangalia kwangu kooote mikutano yake kuptia StarCCM tv sijawahi ona hata watu 20,naonaga wenyeviti au makatibu wa tawi na wilaya mara chache!!

Ulitaka wapandishwe wote jukwaani?
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
Mwezi wa kwanza anakazi kama vijana wake wanaandika uongo kiasi hiki
 
Hao wadogo, hata wahame 100,000,000.mimi sitakaa kamwe nika pungukiwa akili za ulofa nilio jitwisha kwa hiyari yangu mwenyewe nika izalilishe chadema na ukawa kwa ujumla kwa kuhama chama.
Wewe toka huko kusikoeleweka!wote wammetoka. Achana na viroba.tunakusubiri
 
sasa nyie wanaukawa mnashangaa na mnabisha wakati hukohuko bukoba wagombea wenu wamevurugana,jimbo wamepewa cuf,chadema wameingilia halafu mnategemea kushinda pande hizo,mnaanzaje kushinda??

Bukoba ipi ndugu??? Magufuli kauziwa mbuzi kwnye gunia,malori yalikuwa busy sana leo bkb mjini,ukawa itapata kura nyingi bkb ccm haina chake
 
katika mikutano yake ya kampeni, mgombea urais kupitia ccm bw.john pombe magufuli amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na ccm.
oya mwanangu sikukuambia uandike hivvo..sasa nakulipa buku 2 ya burudani hupati ya bia hapa
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Huo ni uongo mtakatifu!!Ule mpango wa kutumia kadi feki kuwahadaa wananchi mbona tulikwisha ustukia mapema!
 
Kwel NENO la kwenye BIBLIA huwa ni NENO ambalo LINALOISHI

DEUTRONOMY 28:7 As your ENEMIES GATHER to plan your DOWNFALL and SET BACKS God shall CONFUSE and DISMISS them in SEVEN directions.

Leo yametimia
GENGE la UKAWA lilijikusanya kwa lengo ovu na MASLAHI binafsi ya kuifirisi nchi hii
lakini mungu kawatawanya kama alivyowachafua lugha wajenzi wa mnara wa BABEL

Leo tunashuhudia kila mtu na DIRECTION yake wanaisambaa UKAWA

Kuna direction ya uongoz wa NCCR MAGEUZI

Direction ya DKT SLAA

Direction ya PROF LIPUMBA

Direction ya JOHN MNYIKA

Direction ya viongoz waandamizi wa CHADEMA

Na sasa DIRECTION ya MBOWE

Asante MUNGU kwa kulinusuru TAIFA na MBWA MWITU wakali waliovaa ngozi ya MWANAKONDOO aitwaye MABADILIKO
 
Back
Top Bottom