tulimumo
Senior Member
- Oct 3, 2015
- 188
- 34
Hali ya chadema inazidi kuwa mbaya
Jamani wanalemewa wanajulikana acheni ushabiki
Hali ya chadema inazidi kuwa mbaya
sasa nyie wanaukawa mnashangaa na mnabisha wakati hukohuko bukoba wagombea wenu wamevurugana,jimbo wamepewa cuf,chadema wameingilia halafu mnategemea kushinda pande hizo,mnaanzaje kushinda??
Kwel NENO la kwenye BIBLIA huwa ni NENO ambalo LINALOISHI
DEUTRONOMY 28:7 As your ENEMIES GATHER to plan your DOWNFALL and SET BACKS God shall CONFUSE and DISMISS them in SEVEN directions.
Leo yametimia
GENGE la UKAWA lilijikusanya kwa lengo ovu na MASLAHI binafsi ya kuifirisi nchi hii
lakini mungu kawatawanya kama alivyowachafua lugha wajenzi wa mnara wa BABEL
Leo tunashuhudia kila mtu na DIRECTION yake wanaisambaa UKAWA
Kuna direction ya uongoz wa NCCR MAGEUZI
Direction ya DKT SLAA
Direction ya PROF LIPUMBA
Direction ya JOHN MNYIKA
Direction ya viongoz waandamizi wa CHADEMA
Na sasa DIRECTION ya MBOWE
Asante MUNGU kwa kulinusuru TAIFA na MBWA MWITU wakali waliovaa ngozi ya MWANAKONDOO aitwaye MABADILIKO
Pamoja na hizo sera zenu ccm mbona mwaka huu watu wengi wanawachukia?[h=3]Leo zimebaki siku 17 kupiga kura. Hivi sera za UKAWA ni zipi?[/h]
1. Mabadiliko. Lakini mabadiliko maana yake nini?
2. Elimu bure? Sawa, tueleze kivipi?
3. Elimu bure, afya bure, kuondoa kodi ya mfanyakazi, kupunguza ushuru kwa wawekezaji na wafanyabiashara wadogo wadogo, kutotegemea misaada?
4. Hivi kweli? Fedha ya kutoa vitu bure itatoka wapi bila kodi?
5. Kwenye gesi? Lakini hadi leo gesi hata haijaanza kutoa hiyo faida. Tunaambiwa faida ni ndani ya miaka 6 ijayo angalao, je mpaka miaka 6 inaisha hivyo vitu bure vitakuwa vinatolewaje?
6. Kwa mkopo? Toka kwa nani? Tutalipaje huo mkopo?
UKAWA SERA ZENU NI ZIPI? MBONA HAZIELEWEKI? MBONA ZIMEKAA KIJANJA JANJA NA HAZIWEZEKANI?
Ukawa wanazidi kukimbia wameshaona hali tete na hata matajiri wanaotoa hela wamewakimbia wameshaona chenga tupu na sasa hv wanapitisha bakuli la kuombamba mchango
[h=3]Leo zimebaki siku 17 kupiga kura. Hivi sera za UKAWA ni zipi?[/h]
1. Mabadiliko. Lakini mabadiliko maana yake nini?
2. Elimu bure? Sawa, tueleze kivipi?
3. Elimu bure, afya bure, kuondoa kodi ya mfanyakazi, kupunguza ushuru kwa wawekezaji na wafanyabiashara wadogo wadogo, kutotegemea misaada?
4. Hivi kweli? Fedha ya kutoa vitu bure itatoka wapi bila kodi?
5. Kwenye gesi? Lakini hadi leo gesi hata haijaanza kutoa hiyo faida. Tunaambiwa faida ni ndani ya miaka 6 ijayo angalao, je mpaka miaka 6 inaisha hivyo vitu bure vitakuwa vinatolewaje?
6. Kwa mkopo? Toka kwa nani? Tutalipaje huo mkopo?
UKAWA SERA ZENU NI ZIPI? MBONA HAZIELEWEKI? MBONA ZIMEKAA KIJANJA JANJA NA HAZIWEZEKANI?
Umewapa ukwel mkuu
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.
Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
Leo zimebaki siku 17 kupiga kura. Hivi sera za UKAWA ni zipi?