Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
 
wewe ach UONGO! mbona mimi niliuwepo pale? Au labda walijifungia chumbani ili wasifamike! Inakula kwenu. watu wanataka mabadiliko hayo mengine ni wimbo wa kinjekitile
 
Kagera hali ni nzuri sana kwa CCM, HIYO INADHIHIRISHA ushindi wa kishindo.
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Kwa kweli ingawaje hainihusu lakini naomba Lumumba msimlipe hata senti moja huyu kwani kwa post hii kazidi kuwaharibia. Huyu katumwa ni mamluki.
 
Upumbavu wa propaganda,kwenye kuangalia kwangu kooote mikutano yake kuptia StarCCM tv sijawahi ona hata watu 20,naonaga wenyeviti au makatibu wa tawi na wilaya mara chache!!
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
5000 unajua? endelea kujitekenya
 
Hambadiliki kila siku staili yenu niwanachama kuludisha kadi. Mbona sitail hizo nizakizamani sana mkuu, jarbni hata sitaili nyingine manake tunawachoka ss.
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Hali ya chadema inazidi kuwa mbaya

Inaonekana watu wanazidi kujitambua

Kagera hali ni nzuri sana kwa CCM, HIYO INADHIHIRISHA ushindi wa kishindo.

Hivi hamjisikii vibaya kuandika uongo kama huu? Hivi hata nafsi zenu haziwasuti nyie viumbe dhaifu? Haijawahi kutokea hata ndani ya upinzani watu wote hao kujiunga na chama kingine kwa maramoja... Hivi mnajua watu elfu tano wakoje au mnaota njozi za alinacha?
TUMIKIENI KWA HALALI KILE MNACHOLIPWA
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Kuweni waangalifu msibweteke, siku hizi kuna matapeli wanahama kimwili au kisanii lakini kura zao bado ni siri.
 
Back
Top Bottom