Safi sana wanabukoba
Hayo ndio mabadiliko ya kweli, sio kusukumwa na mafisadi
Kweli hapa ni kazi tu
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.
Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
Nasikitika Lowassa kaperform under-expectations!!Sioni vission yoyote ndani yake, bora arudishwe Slaa.
Nitarudisha kadi yangu ya Chadema pia..
Kura yangu kwa Magufuli..

wasap said:Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.