Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Kwel NENO la kwenye BIBLIA huwa ni NENO ambalo LINALOISHI

DEUTRONOMY 28:7 As your ENEMIES GATHER to plan your DOWNFALL and SET BACKS God shall CONFUSE and DISMISS them in SEVEN directions.

Leo yametimia
GENGE la UKAWA lilijikusanya kwa lengo ovu na MASLAHI binafsi ya kuifirisi nchi hii
lakini mungu kawatawanya kama alivyowachafua lugha wajenzi wa mnara wa BABEL

Leo tunashuhudia kila mtu na DIRECTION yake wanaisambaa UKAWA

Kuna direction ya uongoz wa NCCR MAGEUZI

Direction ya DKT SLAA

Direction ya PROF LIPUMBA

Direction ya JOHN MNYIKA

Direction ya viongoz waandamizi wa CHADEMA

Na sasa DIRECTION ya MBOWE

Asante MUNGU kwa kulinusuru TAIFA na MBWA MWITU wakali waliovaa ngozi ya MWANAKONDOO aitwaye MABADILIKO

Ahsante matumaini yangu watakuwa wamefunguka
 
Yaan ccm ikishinda safari Hii,naomba maisha yawe magumu kuliko ilivyo ss ili manyumbu kama hawa wajifunze,yaani hata ukiwa na elfu 20 huwezi kunywa chai

Kwa akili finyu unaomba hali ngumu basi niseme mungu akupe Wewe kile ukitakacho nasi kwa watanzania wote!
 
Huu ndiyo ulofa orijino...nie watu wa kujiunga August mnafikiri watu wajinga kiasi hiki ???
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani. Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

CCM kwa kujitekenya wenyewe kiboko

Last edited by a moderator:
Hao ni wale wakimbizi mnao walazimisha kufanya nao mapenzi na kuwa patia kadi feki za Chadema ili siku za mikutano yenu wajifanye ni wana chama wa Upinzani wanarudisha kadi na kujiunga na CCM. Hizo habari mtabaki nazo tu. wenzenu UKAWA wanaendelea kubomoa zile Ngome imara za CCM."VIVA UKAWA."

Viva ukiwa viva ukiwa
#ukiwa?? Poleni sana kwa ukiwa
 
ndg punguza mhemuko mbona na mimi nilikuwepo hao watu wamejiunga saa ngapi wakati hata mgombea urais amesahau kuwatambulisha madiwani na kuwaombea kura jitathmini mambo yenu mwaka huu si mazuri
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Wewe muongo baada ya kugundua kuwa hakuna wanaorudisha kadi ilibidi magufuli ateremke jukwaani pasipo kupokea hata kadi moja,kumbuka mkutano ulikuwa live
 
Hao ni wale wakimbizi mnao walazimisha kufanya nao mapenzi na kuwa patia kadi feki za Chadema ili siku za mikutano yenu wajifanye ni wana chama wa Upinzani wanarudisha kadi na kujiunga na CCM. Hizo habari mtabaki nazo tu. wenzenu UKAWA wanaendelea kubomoa zile Ngome imara za CCM."VIVA UKAWA."

Viva ukiwa viva ukiwa
#ukiwa?? Poleni sana kwa ukiwa
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
Kwa hiyo nusu ya waliohudhuria wote walikuwa ni wanaCHADEMA?
 
Muogope Mungu,acha uongo,toa ukweli ili mjue mmekosea mlipokosea mjirekebishe,mgombea ni mgombea binafsi?manake tunaona chagua Magufuri,serikali ya Magufuri,sheria ya mgombea binafsi iko kwenye katiba gani?Manake mara Sadam ni wa kuweiti .
 
Viva ukiwa viva ukiwa
#ukiwa?? Poleni sana kwa ukiwa

Usi Quote kama huna hoja za kujibu. Mkitumwa au mkisoma
magazeti na blogs za udaku na kuja na umbea wenu hapa mnatakiwa mjiandae kujibu hoja kwasababu kuna watu makini zaidi hapa. Jitetee kwa hoja. Ukiwa ukiwa ukiwa .. ndio nini hiki great thinker..!!
 
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.

Endeleeni kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
...
Kuna direction ya uongoz wa NCCR MAGEUZI
Direction ya DKT SLAA
Direction ya PROF LIPUMBA
Direction ya JOHN MNYIKA
Direction ya viongoz waandamizi wa CHADEMA
Na sasa DIRECTION ya MBOWE
Umeiacha direction moja kubwa ambayo ndio itakayoing'oa CCM;
DIRECTION MABADILIKO ....
 
Wakazi wa Bukoba wanajitambua sana ndo wameamua kurudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom