salehengoda
Member
- Jul 12, 2015
- 20
- 5
Yani hawajamaa kila kukicha wana jifariji mtaisoma mwaka huu change ni muhimu white ndani ya nyumba
ndg punguza mhemuko mbona na mimi nilikuwepo hao watu wamejiunga saa ngapi wakati hata mgombea urais amesahau kuwatambulisha madiwani na kuwaombea kura jitathmini mambo yenu mwaka huu si mazuri
Maigizo tu ila kula ni kwa Lowassa.
Hivi hamjisikii vibaya kuandika uongo kama huu? Hivi hata nafsi zenu haziwasuti nyie viumbe dhaifu? Haijawahi kutokea hata ndani ya upinzani watu wote hao kujiunga na chama kingine kwa maramoja... Hivi mnajua watu elfu tano wakoje au mnaota njozi za alinacha?
TUMIKIENI KWA HALALI KILE MNACHOLIPWA
Umewapa ukwel mkuu
Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.
Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.