Yusuph Makamba na Kiingereza

Wabongo bana kwa kukumbatia 'bidhaa duni' hawajambo! eti kingereza ni ukoloni..get over ur silly selves.

Kingereza ndio lugha ya sayari hii. I would wish my leader, or any leader for that matter, to be ahead of me au awe above average Joes kwene kukimaster kiingilishi. Hiyo mifano ya Uchina sijui Ujerumani haiapply..sisi ni maskini and we have all to do kuwafikia. PERIOD.
 
Kupenda kuongea kiingereza ni kuendekeza ukoloni mambo leo, nenda france au germany halafu kajifanye unapenda kuongea kiiingereza ndio utaona kitakacho kutokea,ni vizuri kupenda lugha yetu adimu ya kiswahili so Makamba hana kosa ila anadumisha lugha.Hivyo hivyo Mgosi ongea hata kishambaa tutakuelea kwani wote sisi ni wabantu, kama ni mbwai mbwai halafu ekai mambeza kabisa inywi.

Yes! Once I was in Brusselss nilipomuuliza police mmoja direction kwa kiingereza aliniuliza is English your mother tongue? when I said no he demended me to speak French. nilipomwambia sijui akaniambia/uliza "If you had time to learn English, why didn't you find time to learn french?"
Hii tabia ya kuendekeza english ndiyo inatudumaza hata kimaendeleo kwa sababu we become uncompetent in English and kiswahili too.
 
Kwa wale wanaotaka kujaribu, usijue kingereza halafu jaribu kutoka nje ya mipaka ya Tz, uone jinsi utakavyokuwa USELESS.
 
The last time i checked nilikuta kiswahili ndio lugha ya taifa..na kiingereza ni moja wapo ya lugha rasmi so sioni hoja tunapotaka kumpima mtu kwa kujua kwake au kutokujua lugha fulani..nadhani ni vema tukampa credit kwa kuchapa kazi kwake na mapungufu yake kama hayo nadhani ya kutokujua kiingereza (kama ni kweli) yabaki kama ni mapungufu binafsi ambayo hayamfanyi ashindwe kuisaidia CCM kupata kura kwa watanzania wengi ambao wengine hata hicho kiswahili anachomudu makamba wao hawamuelewi na mifano tunayo ambapo kuna shule walimu inabidi wafundishe kwa kilugha cha sehemu husika ndipo wamuelewe so ufanisi hauletwi na uelewa wa lugha fulani

...hapa ni kutaka kumvua nguo mzee wa watu kwa kitu ambacho ni tatizo la kitaifa kwa nchi nyingi coz hii si lugha-mama kwake...tumhukumu kwa mengine ila kwa hili nadhani hata wenyewe kwa wenyewe tukiulizana tutakuta wengi tu hawako huru kutumia kiingereza mbele za watu coz si lugha inayojulikana na watanzania wengi na wengine huwa huru kutumia kiswahili coz wana wigo mpana wa kutumia misamiati na misemo mbalimbali....ukitumia kiingereza kijijini (hata mijini pia) wataona ama unajidai umesoma sana au watakuona mwehu(ama sivyo iwe kwa tabaka fulani linalokuelewa).

wakereketwa msinipige mawe ni mtazamo tu juu ya hili la kujua au kutokujua lugha fulani dhidi ya utendaji wa mtu...kwa maoni yangu,huyu mzee anaimudu kazi yake vizuri kwa kiswahili ndio maana anatumia sana.
 
Excuse u?

Makamba anafanya kazi gani ambayo matunda yake hatuyaoni?
 
Kuna thread hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/46252-elimu-ya-makamba.html

Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level
 
Wabongo bana kwa kukumbatia 'bidhaa duni' hawajambo! eti kingereza ni ukoloni..get over ur silly selves.

Kingereza ndio lugha ya sayari hii. I would wish my leader, or any leader for that matter, to be ahead of me au awe above average Joes kwene kukimaster kiingilishi. Hiyo mifano ya Uchina sijui Ujerumani haiapply..sisi ni maskini and we have all to do kuwafikia. PERIOD.

...Mkuu, afadhali hata wewe umeamua kulisema hili. Mi naona uvivu hata kulirudia rudia kulisema kutokana na baadi ya watu wanavyopenda kujipa matumaini feki ya "mbona japani, China, Ujerumani nk hawatumii kiingereza!".
 
Wabongo bana kwa kukumbatia 'bidhaa duni' hawajambo! eti kingereza ni ukoloni..get over ur silly selves.

Kingereza ndio lugha ya sayari hii. I would wish my leader, or any leader for that matter, to be ahead of me au awe above average Joes kwene kukimaster kiingilishi. Hiyo mifano ya Uchina sijui Ujerumani haiapply..sisi ni maskini and we have all to do kuwafikia. PERIOD.

Kwa mfano wako ina maana Watanzania wote wakiongea kiingereza basi umasikini wetu utakwisha? Vipi Malawi wengi wanaongea kiingereza mbona bado ni masikini? Tuache kasumba ambayo haitatusaidia kitu chochote. Tumuhukumu Makamba kwa uozo wake wa kutokuwa kiomgozi bora na kuwa wale wanaofuata upepo, sio kwa kuongea lugha ya wageni.

Imekuwa proved kwamba mtoto anayefundishwa kutumia lugha ya mama yake (mother tongue) huelewa zaidi anachofundishwa kuliko kutumia lugha ya kigeni. Ni sawa na Nyang'aus ingawa wanaongea kiingereza lakini hesabu zinawapiga chenga na wengi ni hoe hae zaidi kuliko Watanzania. Ukiangalia kwenye nyanja za kimataifa kuanzia UN na its associated agencies Watanzania wako wengi zaidi kuliko hao Wakenya ambao kila siku wanajisifia kuongea hiyo lugha.

Kiingereza ni lugha, jambo la muhimu ni kwamba kama unataka kufanya biashara na nchi ambazo wanaongea hiyo lugha ni vizuri zaidi kujifunza ili uweze kuwasiliana nao vizuri zaidi vinginevyo tafuta wakalimani. Huweze kupiga hatua ya maendeleo kwa kujua kiingereza peke yake as a language bado kuna mambo mengi zaidi ya hilo. Hata ukienda Uingereza kwenyewe asilimia kubwa ya raia wake hawaki-master kiingereza kuwashinda wasomi kutoka bongo kwenye lugha yao wenyewe, kwa hiyo basi tuwe tuna-balance wakati tunaongelea swala la lugha.
 
I guess hapo ndipo tunapotofautiana. Kiongoz kwangu kazi yake ni kuongoza, huezi ukaongoza kama huna skills kuwazidi wengine, ambapo kinyume chake hata maana ya kuongoza inakuwa hai-make sense.
 
:welcome::mad2:kama ni kweli ni aibu kwa chama chake kwani katibu ndiye mtendaji mkuu ,haya ndiyo mambo ya kishikaji ya sisiemu
 
Jamani mi nadhani twapoteza muelekeo.

Muuliza swali hakusema makamba kujua kiswahili tu ni kosa ila kauliza hivi ni kweli anajua kiingilishi? maana hajawahi kusikia akikilonga!. Nilitegemea watu wajibu kwanza swali hilo badala ya kumshambulia muuliza swali.

Hata hivyo yeye ni mtu mkubwa sana katika nchi hii kutojua kiingilishi hata cha kujifunzia kwenye zile shule za joni wanaita evening schools ni issue.

Utetezi wa kwamba kujua kwake kiswahili kwatosha ndiko kunakotufanya kuwa na watu vichwa wazi kama yeye katika nchi hii. Ni ujinga uliotukuka. Watu mmesoma na mnapeleka watoto wenu 'st. fulani schools' kusoma na nyinyi wengine mmesoma kiingilish bala shida, kisha mnakuja hapa kutangaza kwamba kujua kiingereza si issue? Mnawafanya wajinga wazidi kuwa wajinga? Sikiliza kujua kiingilish katika dunia yetu leo ni hoja ya maana.

Hivi mnaweza kuniambia kwa nini waliweka clause katika katiba kwamba lazima rais awe na degree moja? kwani urais unasomewa chuo kikuu wapi? kwani degree ndio inaongoza?

Watu wengine bana?
 
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu ananibishia sana anasema jamaa yuko fiti kwenye hiyo lugha ya kiingereza ila hapendi kuitumia tu ... wanaomfahamu vyema mnisaidie maana inawezekana nikawa nabisha bila kufahamu.

Asanteni.

Nimewahi kukutana nae kwenye moja ya vikao mwaka 2005 akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, Yes anaongea kiingereza vizuri bila matatizo.
 
baba wa watu ha-deserve huu udhalilishaji/ujinga...:mad2:
kiingereza sio ishu kabisaa.
wengi tunabuma buma tu kuhusu hio lugha :confused2:
 
Kupenda kuongea kiingereza ni kuendekeza ukoloni mambo leo, nenda france au germany halafu kajifanye unapenda kuongea kiiingereza ndio utaona kitakacho kutokea,ni vizuri kupenda lugha yetu adimu ya kiswahili so Makamba hana kosa ila anadumisha lugha.Hivyo hivyo Mgosi ongea hata kishambaa tutakuelea kwani wote sisi ni wabantu, kama ni mbwai mbwai halafu ekai mambeza kabisa inywi.

Weeee acha kingereza ninguzo yauchum duniani kama ufahamu hilo!!Kama unataka kujua kingereza ndo chenyewe tengeneza kitu chako peleka sokoni na lughayako ya kimatumbi uone kama ujarud nacho!!Kingereza ndo kila kitu!!Naka ujui hapa bongo nenda katika interview ujifanye unakuza lugha yako ya kidengereko kiswahili uone kama ujatupwa nje ya ulingo!
 
Na siku hizi kupata sholarship hata huko uchinani na ujerumani ni mpaka ufanye TOEFIL na hiyo mitihani ya kiinglishi.Na bado tu tunang'ang'ania eti kiswahili kikuzwe zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom