Volcano Temperature
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 106
- 86
Kuna Dada .mmoja hivi nnavyozungumza hayuko nchini kaenda kujaribu maisha kwingine nchi za nje ...mtu na kibiashara kako unaleta ka mzigo kako kodi mamilioni ya shilingi kama vile sio nchi yako ..hatukatai mtu asilipe kodi ila kodi za sasa hivi zimewekwa kuumiza
Nenda karipoti hara Mkuu alisema ... TRA wanakadiria kukomoa wananchi, na TRA wengine wanawapelekea wafanya biashara polisi badala ya kuongea kirafiki, amesema anayejua kuwa kodi anayolipa sio halali yake aende akaripoti fasta, kwa hiyo usipoteze muda Mkuu.