Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

Kuna Dada .mmoja hivi nnavyozungumza hayuko nchini kaenda kujaribu maisha kwingine nchi za nje ...mtu na kibiashara kako unaleta ka mzigo kako kodi mamilioni ya shilingi kama vile sio nchi yako ..hatukatai mtu asilipe kodi ila kodi za sasa hivi zimewekwa kuumiza

Nenda karipoti hara Mkuu alisema ... TRA wanakadiria kukomoa wananchi, na TRA wengine wanawapelekea wafanya biashara polisi badala ya kuongea kirafiki, amesema anayejua kuwa kodi anayolipa sio halali yake aende akaripoti fasta, kwa hiyo usipoteze muda Mkuu.
 
Kwani ye ndo mfanya biashara pekeyake .huyu alishazoea biashara ya madawa hawamu hii akuna hiyo kitu..unategemea atabaki afanye nn...we fika salama uendako
 
Ahame tuu kama huko wanapokea wenye viburi, dharau na tabia za kukwepa kodi...
 
Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252
Vyura wana hali ngumu sasa:D:D:D:D
 
  • Thanks
Reactions: Tui
NAHISI HATA MZEE MENGI YALE MAZIWANDA YA MAGARI, SIMU NK YALIYO KWENYE PLAN YAKE NI ZUGA TU ILI KUMPA NDG YULE KICHWA...!

But possible for next country leader.
 
Kiukweli wanaisoma namba... kuna jamaa yangu XX ana kampuni yake ndogo ya stationary ameniambia alikuwa hajui kama iko siku atapata tender ya Serikali, Tender zoote zilikuwa zimeshikwa na wahindi, walikuwa wanatanguliza Pesa, sasa hivi imekula kwao. Jamaa mzalendo kapewa Tender ya Ku-Supply Stationary Ofisi ya Serikali, basi amepagawa anapiga kazi usiku na mchana ... anasema anaona wazi umasikini unamkimbia kabisa.
Sio stationery tu hata Madawa ya binadamu serikali ilikua inatoa tender ya suppliers utafikiri viwanda vipo Mars kwa serikali haiwezi kununua dawa moja kwa moja kiwandani mpaka imtafute dalali wa katikati, huo wote ulikua ni ufisadi mwisho wa siku dawa inayouzwa 500 kiwandani serikali inanunua kwa 1300 sababu ya muhindi na viongozi fisadi wamekaa hapo kati lakini saivi jamaa kakata huo mrija MSD yenyewe inaenda kununua moja kwa moja viwandani sasa wale waliokua na tender saivi wanalimia meno

Hali kadhalika na haya mashangingi ya serikali kuna company ilikua inadalalalia yaani kana kwamba serikali haijui Japan ipo sehemu gani iende ikanunue magari yake yenyewe eti mpaka dalali aingie kati, saivi zile showrooms za Toyota Tanzania ambao ndio walikua walanguzi wa magari yote ya serikali wanauza bajaji na pikipiki za toyo kwenye showrooms zao maV8 yameota mbawa,
Huyu Manji nae ni ukosefu wa tenders za kipuuzi za serikalini kama hizi ndio zilikua zinamfanya Don kuanzia tanesco mpaka jeshini jamaa alikua ana tender balaa, saivi hapati hata tender ya sindano serikalini.

Kweli huyu jamaa ni shida
 
Wacha anyee maji tuu
 
Wache wajiindokee tu maana nchi hii sasa haitabiriki.

Watakapokosa hela za kulipa mishahara ya watumishi na za kulipa madeni,hasa ya nje,ndio watajua uongozi ni busara na si mabavu.
Walitangulia kushindwa kutoa nyongeza za mishahara, wakashindwa kulipa madeni ya mifuko ya hifadhi ya jamii, wakashindwa kulipa mafao ya kustaafu ya mkupuo, ni kweli kabisa ipo siku mishahara itaota mbawa. Nchi za watu waliostaarabika huwaheshimu sana walipa kodi wa nadani badala ya kuwaheshimu mabashite wanaogoma hadharani kulipa kodi na kutishia kuwaloga wakusanyaji wa kodi.
 
Kwani ye ndo mfanya biashara pekeyake .huyu alishazoea biashara ya madawa hawamu hii akuna hiyo kitu..unategemea atabaki afanye nn...we fika salama uendako
Safari hii namba inasomwa na kila mtu,watumishi wa umma fyekelea mbali mafao,media ziko hoi,wafanyabiashara hoi,mahotel na shopping centres hoi!!!!!
 
Wache wajiindokee tu maana nchi hii sasa haitabiriki.

Watakapokosa hela za kulipa mishahara ya watumishi na za kulipa madeni,hasa ya nje,ndio watajua uongozi ni busara na si mabavu.

hahaaa mkuu jiwe akionaa mapato yamepungua lazima aje kwenye mifuko ya jamii na zamu hii ataweka wastani wa 5% ndio mafao ya mtumishi
 
Wala usimpangie Manji pa kwenda.Kiongozi wako alishakataa kupangiwa,na Manji msimpangie pia.
Sikumpangia mzee; mapovu yote ya nini? Mimi nimeona kuwa kwa vile ana link sana na Kenya kuliko Zambia, huko kungemfaa zaidi. Quality plaza ilifunguliwa na Odinga! na vile vile amekuwa anafanya biashara sana huko Kenya.
 
Back
Top Bottom