Yussuf Manji, Omba Toba

Kweli ujinga ni mzigo, badala ya kuwasomea Ahla badri BAKWATA waliomuuzia Manji viwanja, nyinyi eti mnamsomea mnunuaji ambaye ni Manji. Sidhani Mungu ni mpumbavu kiasi hicho!
 
Mm nakwambia muuza unga mla unga yyote hawez kuomba radhi kwa umma labda awe maskin hawa watu wanajiona wap ndo kila ktu...manji amekosea sana tena sana nashndwa kumuelewa n dini gani.....naomba kama hzo dua walzomuombea naomba warudie tena kipind hiki wakazie wakazie had asems poooo!!!!!!! Manji anatoa mil 100 watu wakaingie uwanjan bure unadhan pesa zatoka wap zile?? Moh dewj umemuona afanye upuuz ana heshma sana yule jamaaa....Naombeni waislam kokote mlipo muongezeeni dua nzto Manji...zikasomwe pembezoni mwa bahari
 
bakwata ikiendelea kuwa na watu kama kina Alhadi ..anayejiita sheikh wa mkoa wa dar! kamwe haitaweza kuwapo kwa ajili ya maslahi ya waislam ...

manji alidhulumu sana waislam ..
 
Sidhani kama manji amefanya makosa kununua hivyo viwanja ama useme kama ametumia nguvu kuvipora.ikiwa manji ameuziwa na wahusika yaani mamlaka iliyopewa idhini ya kutunza mali za waislamu imeviuza sasa kosa la manji hapo li wapi?
kwa hilo waislam wasimshike manji uchawi bali wamtafute mchawi wao.
UISLAM NI DINI YA HAKI.


Ukinunuwa mali ya wizi na wewe ni mwizi.
 
Umeambiwaa kua aliwatumiaa watumishi wasio waaminifu
Ni waislama au Wakristo? Jibu ni waislam, kosa ni la nani na aliwatumia vipi? aliwaendea na bastola wamuuzie au ni vipi hebu labda tufafanunulie MCHAKATO ULIKWENDAJE?
 
Zilijibu na zinaendelea kuitika mpaka iombwe toba ya uhakika si ya kujidanganya kwa wahusika wote.

Halafu kwa ID yako hiyo hauelekei kuwa na maneno kama hayo, au ni mdau wa bakwata? Declare interest.
Si vyema kudhania au kumdhania mtu, hata Uislam unaaamrisha MAKUBALIANO/MIKATABA n.k. vitu kama hivyo vipo, Manji yeye angejuaje watumishi anaodeal nao ni waaminifu au lah, yeye anachojua BAKWATA CHOMBO CHA KIISLAM NA WALIOPO PALE WAMEAMINIWA NA WAISLAM, Labda ungenijibu maswali yangu ndo tungeelewana,...
1. MANJI Aliwalipa Waislam au lah?
2. Palikuwa na Mikataba au lah
3. Dhulma ni ipi ilojitekeza.?
 
Ungetaka usijibiwe na wachangiaji wengine usingeuliza kwenye open forum. Hii ni open forum na kila moja yupo huru kumjibu yeyote yule, mradi iwe ki staha tu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hapana mama hatukwenda kusoma ujinga ila huwa hatupendi vigeugeu Kabisa yaani..
 
20140430_151443.jpg
Kwapicha hii, inaonyesha dhahiri Mwalimu aliwaogopa waislam kitambo. .... !! Ndiyo maana aliwadhibiti mapemaaaa....!!
 
Back
Top Bottom