Yussuf Manji, Omba Toba

Yussuf Manji, Omba Toba

Huyu Jamaa yupo kimyaaaa,watu wabaya sn wa hivi hawa.
Huwa wana revenge balaa
 
Mama! mission accomplished, yule aliingia Chadema kwa makubaliano kwamba yeye awe mgombea mwenza maana katiba isingeruhusu awe mgombea mwenza akiwa Cuf, sioni ubaya hapo.. Kwani msingi haswa wa kuuliza hivo ni nini?

Kajisome umeandika nini.
 
Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.

Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.

Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.

Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.

Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).

Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.

Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.

Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.

Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.

Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:

Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo

Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.

Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:

Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo

Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.

Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.

Jikumbushe:

Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com

MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?

Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.

Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Ushauri mzuri sana kwake.
 
Kwani huyo yaya alimpiga huyo mtoto na hata akamuua?

Kama hiyo haijakuingia, pata hii:

Genesis 9:6 If anyone takes a human life, that person’s life will also be taken by human hands...
 
Kati ya watu wasio na fikra wewe unaongoza,ni unafiki tu umekujaa na udini pia.
Hakuna dua yoyote iliyosikika, Nimeshakuambia Mungu huwa hasikilizi magaidi Kama nyie .
Ni watoto gani waliharibika Bilicanus?
Kwa upeo wako mdogo umeona Tanzania nzima sehemu ya starehe ni Bilicanus tu?
Una ubongo Wa samaki kweli wewe, huoni watoto walioharibika Kwa kushinda mitaani wakiuza karanga badala ya kwenda Shule?
huoni watoto walioharibika Kwa kuuza baa baada ya maisha kufanywa magumu na green devils?
Umeshatembea mikoa na vijiji vingapi wewe Tanzania hii ukajionea jinsi watoto Walivyo haribiwa na maisha magumu Kwa Sababu ya mafisiemu?
kuna mtoto angeweza kwenda Bilicanus enzi zake? wewe uliwahi kwenda Bilicanus ukakuta watoto?
Hiyo dini yenu ndo inaharibu watoto ,mnawafundisha ugaidi na kukariri Quran, wakifeli Elimu dunia Kwa Sababu muda mwingi wanakaririshwa Quran, mnaijia juu serikali eti inawafelisha makusudi Kwa Sababu ni serikali ya mfumo kristo.
Watu wa hovyo Sana nyie.
Mbowe amekuwa serikali hadi amtafute Ben saanane? Kwa hiyo serikali haina jukumu la kulinda raia wake kumbe ni jukumu la Mbowe?
if Mbowe is the case about his disappearance, why don't you get him held responsible if so far you have evidence na ni Jamhuri?
Usidhani watanzania bado wajinga Kama zamani, watu wameamua kukaa kimya maana hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Halafu sijui huwa Unaona fahari kushinda humu unatetea ujinga na hijabu yako hiyo, eti na wewe ni mke wa mtu, huyo aliyekuoa wewe he must be a silly husband, you can't wed to such a woman that spends most of her time being into social networks and putting up with folly things.

Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo.Maelezo
 
Wacha porojo wewe.

Nikukwepe kwa lipi zaidi?

Sasa porojo gani tena mama....juzi hapa umejikana mwenyewe nikakupiga maswali ukakimbia jukwaa...ndo ukarudi na huu uzi wa kumlaumu Manji wakati kimsingi ukitakiwa uwalaumu viongozi wa Bakwata kwa kuuza Mali za waislamu na si Manji.
 
Nimeshangazwa na kauli ya FaizaFoxy kuhusu Ben Saanane. Huu ni uzandiki na upunguani wa mwendokasi. Kwani jukumu la kulinda raia ni la Mbowe au serikali???? This is insanity
 
Kati ya watu wasio na fikra wewe unaongoza,ni unafiki tu umekujaa na udini pia.
Hakuna dua yoyote iliyosikika, Nimeshakuambia Mungu huwa hasikilizi magaidi Kama nyie .
Ni watoto gani waliharibika Bilicanus?
Kwa upeo wako mdogo umeona Tanzania nzima sehemu ya starehe ni Bilicanus tu?
Una ubongo Wa samaki kweli wewe, huoni watoto walioharibika Kwa kushinda mitaani wakiuza karanga badala ya kwenda Shule?
huoni watoto walioharibika Kwa kuuza baa baada ya maisha kufanywa magumu na green devils?
Umeshatembea mikoa na vijiji vingapi wewe Tanzania hii ukajionea jinsi watoto Walivyo haribiwa na maisha magumu Kwa Sababu ya mafisiemu?
kuna mtoto angeweza kwenda Bilicanus enzi zake? wewe uliwahi kwenda Bilicanus ukakuta watoto?
Hiyo dini yenu ndo inaharibu watoto ,mnawafundisha ugaidi na kukariri Quran, wakifeli Elimu dunia Kwa Sababu muda mwingi wanakaririshwa Quran, mnaijia juu serikali eti inawafelisha makusudi Kwa Sababu ni serikali ya mfumo kristo.
Watu wa hovyo Sana nyie.
Mbowe amekuwa serikali hadi amtafute Ben saanane? Kwa hiyo serikali haina jukumu la kulinda raia wake kumbe ni jukumu la Mbowe?
if Mbowe is the case about his disappearance, why don't you get him held responsible if so far you have evidence na ni Jamhuri?
Usidhani watanzania bado wajinga Kama zamani, watu wameamua kukaa kimya maana hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Halafu sijui huwa Unaona fahari kushinda humu unatetea ujinga na hijabu yako hiyo, eti na wewe ni mke wa mtu, huyo aliyekuoa wewe he must be a silly husband, you can't wed to such a woman that spends most of her time being into social networks and putting up with folly things.
I second you
 
Sasa porojo gani tena mama....juzi hapa umejikana mwenyewe nikakupiga maswali ukakimbia jukwaa...ndo ukarudi na huu uzi wa kumlaumu Manji wakati kimsingi ukitakiwa uwalaumu viongozi wa Bakwata kwa kuuza Mali za waislamu na si Manji.

Thubutu.

Nilikupuuza tu, niliona huna jipya.

Mwizi na mnunuzi wa mali ya wizi wote ni wezi.

Hapa tunawakumbusha waombe toba tu. Au una akili za samaki na tayari umesahau hii mada ni yanini?
 
Hayo yanayomfika Nisiongelee tuwache Mahakama ifanye kazi yake, Mie kidogo napingana na hii issue ya viwanja vya WAKFU, Kwani Manji alichukua au kupora bila kuingia MKATABA na Waislam??? Bakwata aloingia nao mkataba ni kina nani? Je? Manji hakuwalipa hao BAKWATA, Mikataba militia ya kidhulma kwa kuangalia sharia ipi??? Nadhani hapo palifanyika MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE 2 NA ZIKAJIRIDHISHA NA KWA VILE LILE ENEO LA WENGI WAKATOKEA WENGINE KWA MALALAMIKO kwa sabab moja au nyengine, kama kulikuwepoa MAKUBALIANO SIJAJUA KOSA LA MANJI NI LIPI? Wakulaumiwa ni hao Bakwata au hao Viongozi waloingia makubaliano, nadhani mitihani inayomfika Manji ni mitihani kama mitihani mingine kwa binaadamu na sio kwa sabab ya issue ya lile eneo, hizo albadiri zilizosomwa zingejibu kipindi kile kile na sio baada ya miaka 10 sijui 15..
 
Tatizo lililoko Tanzania ni kubwa sana. Kama Manji angekuwa hajawakosea Waislam hapa pasingekalika, ingekuwa ni udini kwa kwenda mbele.
 
Hayo yanayomfika Nisiongelee tuwache Mahakama ifanye kazi yake, Mie kidogo napingana na hii issue ya viwanja vya WAKFU, Kwani Manji alichukua au kupora bila kuingia MKATABA na Waislam??? Bakwata aloingia nao mkataba ni kina nani? Je? Manji hakuwalipa hao BAKWATA, Mikataba militia ya kidhulma kwa kuangalia sharia ipi??? Nadhani hapo palifanyika MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE 2 NA ZIKAJIRIDHISHA NA KWA VILE LILE ENEO LA WENGI WAKATOKEA WENGINE KWA MALALAMIKO kwa sabab moja au nyengine, kama kulikuwepoa MAKUBALIANO SIJAJUA KOSA LA MANJI NI LIPI? Wakulaumiwa ni hao Bakwata au hao Viongozi waloingia makubaliano, nadhani mitihani inayomfika Manji ni mitihani kama mitihani mingine kwa binaadamu na sio kwa sabab ya issue ya lile eneo, hizo albadiri zilizosomwa zingejibu kipindi kile kile na sio baada ya miaka 10 sijui 15..
Umeambiwaa kua aliwatumiaa watumishi wasio waaminifu
 
Kuna wakati tunamfanya Mungu ashindwe kutuelewa.

Mikataba Yussuf aliingia na BAKWATA, yet Yussuf pekee ndie atuhumiwa na kusomewa albadir.

Amakweli mwanadamu 'sio mtu
 
Back
Top Bottom