Yussuf Manji, Omba Toba

Yussuf Manji, Omba Toba

Kumbe tatizo ni viwanja alivyouziwa na bakwata basi harudishi kwa sababu sio kosa lake bali ni kosa la bakwata
Ndio akili za watanzania average hizo. Serekali inaingia mkataba fisidi na muwekezaji. Watanzania kutwa makelele na huyo muwekezaji.
 
Nimeshangazwa na kauli ya FaizaFoxy kuhusu Ben Saanane. Huu ni uzandiki na upunguani wa mwendokasi. Kwani jukumu la kulinda raia ni la Mbowe au serikali???? This is insanity

Wewe ukipotea kazini kwenu nani wa kuulizwa kwanza?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hayo yanayomfika Nisiongelee tuwache Mahakama ifanye kazi yake, Mie kidogo napingana na hii issue ya viwanja vya WAKFU, Kwani Manji alichukua au kupora bila kuingia MKATABA na Waislam??? Bakwata aloingia nao mkataba ni kina nani? Je? Manji hakuwalipa hao BAKWATA, Mikataba militia ya kidhulma kwa kuangalia sharia ipi??? Nadhani hapo palifanyika MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE 2 NA ZIKAJIRIDHISHA NA KWA VILE LILE ENEO LA WENGI WAKATOKEA WENGINE KWA MALALAMIKO kwa sabab moja au nyengine, kama kulikuwepoa MAKUBALIANO SIJAJUA KOSA LA MANJI NI LIPI? Wakulaumiwa ni hao Bakwata au hao Viongozi waloingia makubaliano, nadhani mitihani inayomfika Manji ni mitihani kama mitihani mingine kwa binaadamu na sio kwa sabab ya issue ya lile eneo, hizo albadiri zilizosomwa zingejibu kipindi kile kile na sio baada ya miaka 10 sijui 15..


Zilijibu na zinaendelea kuitika mpaka iombwe toba ya uhakika si ya kujidanganya kwa wahusika wote.

Halafu kwa ID yako hiyo hauelekei kuwa na maneno kama hayo, au ni mdau wa bakwata? Declare interest.
 
Umemuona huyu tu? Na hao mashee wanaonunuliwa utawambia lini?
 
Kumbe waislamu wanadhulumiana pia basi tufunge mikanda vzuri
 
Wewe ukipotea kazini kwenu nani wa kuulizwa kwanza?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mtu anapotea baada ya kuhoji uhalali au uharamu wa PhD ya maganda ya korosho halafu unalaumu wengine???? Unafikiri angepotea au Jesca M au Daudi Bashite baada ya kujiuzulu hali ingekuwa kama ilivyo????

Halafu kwa akili ndogo kama chembe ya haradali unasema kuulizwa, give me a break, issue ni kutafutwa kwa machinery za serikali na si kuuliza then what!????
 
Bakwata pia ina la kujibu mbele ya ALLAh SWT kwa kuuza na kudhulumu mali za waislam.

Mwenye ez Mungu hawapendi madhaalim, na hatamzidishia dhaalim ila maangamizi! wote walodhulumu wanatakiwa kutubu toba ya kweli, hakina Mwenye ez Mungu ni mwenye kupokea toba na msamehevu!
 
hata kama asingenunua Manji angenunua mwingine so wa kusomewa al-badr ilikuwa viongozi wa BAKWATA hii inaendana sawia (kukazia) hao hao viongozi wa jumuia yenu wamedhulumu mali nyingi tu sasa kwa minajili hiyo Mungu wenu ataadhibu wengi ilhali viongozi wenu wanapeta tu. Na kama mtakuwa mnwasomea dua mbaya wanunuzi basi hao viongozi wenu hawataacha kuuza mali zenu.
 
Kuuziwa viwanja sio kosa kwa sababu alivinunua kihalali na iwapo BAKWATA wangevihitaji mngefuata utaratibu wa kuomba mvinunue upya sasa nyinyi mlitaka mpewe bure wakati mwenzenu alivinunua kwa gharama zake hapo bado hamjasomeka
 
Mtu anapotea baada ya kuhoji uhalali au uharamu wa PhD ya maganda ya korosho halafu unalaumu wengine???? Unafikiri angepotea au Jesca M au Daudi Bashite baada ya kujiuzulu hali ingekuwa kama ilivyo????

Halafu kwa akili ndogo kama chembe ya haradali unasema kuulizwa, give me a break, issue ni kutafutwa kwa machinery za serikali na si kuuliza then what!????

Mmemuuliza habari zake kwa boss wake au kama anajuwa yuko wapi?
 
Back
Top Bottom