Kuntah Kinte
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 133
- 49
Bado sijaona ambako manji amefanya kosa,ila wewe mtoa hoja una nafasi ya kutupatia jibu juu ya hoja yako je bakwata ndio wezi wenyewe?tujibu hapo kwanza ndio tuanze kumnyooshea manji kidole.
Manji hajawakosea waislamu chochote, bakwata walimuuzia viwanja kwa madharti awatafutie kiwanja kikubwa ili wajenge chuo kikuu, kafanya hivyo kawapa kiwanja kilicholipiwa kila mitu, leo mnsema nini jamaniAsante kwa ukumbusho mubashara
hivi wewe hunaga kazi za kufanya? wewe ni mama wa nyumbani? unapata wapi muda wa kuandika haya mambo ya kigaidi?Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Huyu aweza kukuajiri kwa ujira wowote utakaohitaji. JF jumba kubwa ndugu yangu, it's good that members hatufahamiani, vinginevyo...hivi wewe hunaga kazi za kufanya?
Laana imekuisha nini?Si wewe ulikuwa unapambana kuwa ni mwenzenu kipindi wana mgogoro na Mengi?Kweli unafiki upo karibu na wewe kuliko jugula vein. Kotekote unafaa kuwa kafara nyie. Ni rahisi sana kukumezesha haramu wewe provided itaiweka upande tofauti na umchukiaye uchague moja.Utakula tuu haramu kuliko kumpa umchukiae haki yake.For the moment umeahimishia majeshi kitalu kingine ch akupotosha watu, hujatubu hata kazi nzuri uliyomfanyia manji hapa ktk hili jukwaa.Kesho zamu ikibadilika utahamia kumshutumu aliyemnyoosha Manji .Miss you ajuza wangu.....mwaaaaaahYussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
=wameshtakiaHakuna katika sisi aliyeomba mabaya, watu wameshatakia kwa Mwenyezi Mungu.
Wapo wanaoomba mabaya, tena wengi tu. Hiyo ni mada nyengine.
Kwanza kesi ya Manji inayomkabili sasa hivi wala haihusiani na dua zenu mlizomsomea, Manji anatuhumiwa kukutwa na Sare za Jeshi, Kwahiyo unataka kusema kama Manji angewarudishia kile Kiwanja chenu cha Wakfu hizi kesi asingekamatwa nazo?Hivyo Mungu wenu angeweza kumlinda Manji aendelee kuhujumu Nchi? Usiusianishe kesi ya Manji na Zile Dua zenuYussuf Manji ni Muislam na aliwakosea Waislam na ni wajibu wetu kukumbushana.
Toba ni kwa yeyote.