Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

Jirani yangu wa miaka mingi pale mbezi beach karibu na lile daraja. Nyumba aliikarabati imekuwa nzuri sana, ikategemewa kuwa angeishi hapo.

JPM alipoingia tu pale magogoni bwana mkubwa akahamishiwa Masaki. Nasikia karudi nyumbani Mbeya.
 
Mzee huyo ni mstaafu yupo kijijini anapumzika
 
Huyo ni mtoto wake,Mbeya wamemkataa ubunge zaidi ya Mara nne,sasa anaanza kumpenyeza mwanae Dr.Tulia.Wana mbeya kumbuka nyoka mdogo na mkubwa wote wana sumu.
Si kweli. Mwanaye ni Thomas, alikuwa mbunge wa kuteuliwa bunge lililopita.
 
katika uongozi wake vijana wengi sana wa kutoka wilaya Mbozi waliingia kwenye kitengo
Ni kama enzi za kitubu mkuu kiongozi fulani enzi za JK aliwaingiza sana watu wa Iringa na Njombe idarani hadi ikawa kero. Chunguza kwa Makini vijana wengi wa idara wanatokea mikoa hiyo miwili. Ajabu hii!!
 
Huyo hapo anaumwa mzee wetu....
IMG-20190905-WA0012.jpeg
 
Umri pia umeenda sana , tumtakie afya njema tu
 
Jirani yangu wa miaka mingi pale mbezi beach karibu na lile daraja. Nyumba aliikarabati imekuwa nzuri sana, ikategemewa kuwa angeishi hapo.

JPM alipoingia tu pale magogoni bwana mkubwa akahamishiwa Masaki. Nasikia karudi nyumbani Mbeya.

Hongera kwa Kutuhabarisha kuwa unaishi Mbezi Beach japo hapo unapoishi wakati wa Mafuriko Maji huwa yanawasombeni hadi Madirishani mwenu na mnaokotwa na Wavuvi Baharini Mita chache kutoka hilo eneo. Ila mbona hilo Daraja bado halijachimbwa vyema na kama Mvua nyingine ikija tena mtaokotewa Baharini kama kawaida tu?
 
Ni kama enzi za kitubu mkuu kiongozi fulani enzi za JK aliwaingiza sana watu wa Iringa na Njombe idarani hadi ikawa kero. Chunguza kwa Makini vijana wengi wa idara wanatokea mikoa hiyo miwili. Ajabu hii!!

Kwani katika Katiba ya TISS imeandikwa mahala popote pale kwamba Watu wa Mikoa ya Iringa na Njombe hawastahili kuwa Majasusi wa Idara? Mbona hushangai au hauhoji kwamba ni kwanini Wakurya wengi na mpaka Wazanaki bila Kuwasahau Wanyamwezi, Wanyakyusa hadi Wapemba wapo sana Jeshini? Ukimaliza hapo mbona hujiulizi ni kwanini Wachagga na Wapare wengi wanaongoza kuwemo katika Sekta na Taasisi mbalimbali za Kibenki nchini? Na mwisho kabisa mbona hushangai Wahadhiri ( Lecturers ) wengi katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini wanatokea Mkoa wa Kagera? Una hulka ya Ubaguzi na Chuki ya Kiukabila bado hujachelewa katika Kuachana nayo tafadhali.
 
Habari wana JF.

Niende kwenye mada hapo juu.

Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.

Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.

Yupo wapi mtu huyu?
Yuko kitandani anapigania uhai wake kabla ya 2020
 
Back
Top Bottom