Ninguwekea hapa Hansard ya majibu ya naibu Waziri mmoja tens ilijkuwa Siku ile Sugu anatoka jela alimtaja naibu spika zaidi ya Mara tatu kwa jina la mh Tulia Ackson Mwang''ondaUjinga huu, Ackson na Apson huoni tofauti yoyote hapo?
Basi utapata shida sana kutofautisha Thomson na Thompson.
Sikuwahi kusikia hiliNinguwekea hapa Hansard ya majibu ya naibu Waziri mmoja tens ilijkuwa Siku ile Sugu anatoka jela alimtaja naibu spika zaidi ya Mara tatu kwa jina la mh Tulia Ackson Mwang''onda
Kivipi?yani ush.uzi wa yule jinga lizaboni ukauchukulia serious!!!
lizaboni wa mtaa wa lumumba ndiye aliyekuja na ujinga huuKivipi?
Kwamba Apson sio team Lowassa? Alionekana Arusha siku Lowassa akitangaza nia!lizaboni wa mtaa wa lumumba ndiye aliyekuja na ujinga huu
alianzisha threads takribani tano bila hata ushahidi wa picha za hivyo vikao
Majina ya majasusi ni kazi kwelu kuhusisha na ndugu yeyute Hans beseni kitine /hassan Benson kitineUjinga huu, Ackson na Apson huoni tofauti yoyote hapo?
Basi utapata shida sana kutofautisha Thomson na Thompson.
Hivi huyu Lizaboni kapotelea wapi? Kaadimika sana jukwaani.yani ush.uzi wa yule jinga lizaboni ukauchukulia serious!!!
Uzee na mchepuko ni vitu pacha na sijui huwa ni kwanini.Alikua na mchepuko wake mmoja anakaa Upanga kilikua chuma kweli kweli
tokea slow slow apewe kitengo buku 7 za bando zimesitishwaHivi huyu Lizaboni kapotelea wapi? Kaadimika sana jukwaani.
Yuko masomoni nje ya nchi aliagaHivi huyu Lizaboni kapotelea wapi? Kaadimika sana jukwaani.
Wee mbeyaa eti hosp ya kitengo![]()
![]()
Haya bhanaNdiyo. Si ile ya Emilius Mzena
HapanaHivi Tulia Ackson naibu spika ni mtoto wake Apson
Kwake songwe mboziYupo nyumbani kwake Tukuyu.