Kuna tetesi kuwa keshatanguliaHabari wana JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.
Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.
Yupo wapi mtu huyu?
Kumbe bado ni tetesi!Kuna tetesi kuwa keshatangulia
Habari wana JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.
Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.
Yupo wapi mtu huyu?
Aisee amefariki?R.I.P
Mbona kifo chake kilikuwa kimya kimya sana??Bila hata coverage ya Media??Aah!!nimesahau ;Apson-Mahiga-Mkapa-kijazi-Maalim seif-jiwe-Mfugale-kwandikwa....................!!!!!who's next??cycle Bado haijakamilika hapo???nadhani Ndugu zangu mlishajifunza sequence and series!!!!hebu jaza jina linalofuata hapo kwenye mtiririko!!!Aisee amefariki?
Bi HinduMbona kifo chake kilikuwa kimya kimya sana??Bila hata coverage ya Media??Aah!!nimesahau ;Apson-Mahiga-Mkapa-kijazi-Maalim seif-jiwe-Mfugale-kwandikwa....................!!!!!who's next??cycle Bado haijakamilika hapo???nadhani Ndugu zangu mlishajifunza sequence and series!!!!hebu jaza jina linalofuata hapo kwenye mtiririko!!!
Majaliwa au PolepoleMbona kifo chake kilikuwa kimya kimya sana??Bila hata coverage ya Media??Aah!!nimesahau ;Apson-Mahiga-Mkapa-kijazi-Maalim seif-jiwe-Mfugale-kwandikwa....................!!!!!who's next??cycle Bado haijakamilika hapo???nadhani Ndugu zangu mlishajifunza sequence and series!!!!hebu jaza jina linalofuata hapo kwenye mtiririko!!!
Aisee amefariki?
Marehemu Apson. Mtoto wake ni mkuu wa wilaya moja upareni.Habari wana JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.
Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.
Yupo wapi mtu huyu?
Yule biggie nadhani ameshatoka upareni.. Yuko mtangazaji kule..Marehemu Apson. Mtoto wake ni mkuu wa wilaya moja upareni.
Sifahamu vizuri, hapa mbezi beach alijenga nyumba moja nzuri kabla hajafa. Mjane wake anamiliki kiwanja upande wa pili wa barabara kuna saloon jamaa fulani amekodisha. Mama nadhani yupo Dar.Yule biggie nadhani ameshatoka upareni.. Yuko mtangazaji kule..
Na yule mtoto wake wa kike mkubwa yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ni team Lowassa. Baada ya JK kuingia ikulu wakamhamisha upesi kumtoa Mbezi Beach akaenda kuishi masaki.
JK katika ubora wake wa fitina na visasi hakutaka kumpa upenyo hata kidogo.
Huifahamu story vizuri. Alihama kutoka mbezi beach baada ya JK kuchukua nchi na haikuwa ni kwa amani kumbuka alikuwa ni team Lowassa pia akiwa na ukaribu na team Mwandosya.Uongo Masaki aliishi baada ya kustaafu ni kawaida kwa viongozi wakuu wanapostaafu kupewa makazi mapya JK amestaafu na Mbona hajaenda kuishi Mikocheni Migombani kwenye makazi yake?
Mzee aliomba kustaafu mwenyewe kipindi cha kati kati cha Jk na yeye Apson alipendekeza kwa JK Othman achukue nafasi yake baada ya kubembelezwa sana na JK waendelee kufanya kazi kama DG idarani
Hata hivyo alikaa Masaki kwa miaka michache akaenda kuishi Mbezi kwenye nyumba yake ya Zamani
DG wote wa TISS adi wa huyu wa sasa Diwani Msuya ni mapendekezo ya Mzee Apson kwa sababu alikua anafatwa na Maraisi kupendekeza mtu sahii
Huifahamu story vizuri. Alihama kutoka mbezi beach baada ya JK kuchukua nchi na haikuwa ni kwa amani kumbuka alikuwa ni team Lowassa pia akiwa na ukaribu na team Mwandosya.
JK alimchukia Mwandosya. Alimtambia mkwere kwamba yeye ni profesa ana elimu kuliko JK mwenye shahada ya kwanza ya economics ya Mlimani, hayo maneno yakamchoma JK ndio akasema watanijua mimi ni nani.
Apson hakurudi tena nyumbani kwake mpaka mauti yalipomfika.