Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,624
Msiba kuwa mbezi beach haina maana kwamba alifia nyumbani. Mzee RIP Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach siongei vitu kwa hisia tu.Nimeamini JF Kuna watu waongo wanatulisha matango pori, Yule Mzee umauti umemkuta nyumbani kwake Mbezi Beach daraja la Apson na nyumba ya Masaki alikua ni jirani yangu aliishi kidogo sana na aliuza long time akaenda mbezi beach Mpaka mauti yanamkuta
Mwandosya na Apson wapi na wapi
View attachment 2087223
Alikuwa rafiki ya baba yangu enzi za uhai wake akija nyumbani kwetu. Ninapoishi ni hatua kama mia moja hivi kutoka nyumba yake ilipo.
Ni upande huu kama unaelekea maghorofa ya BOT kushoto kwako njiani. Kama wewe ni mwenyeji utakuwa unaikumbuka car wash iliyokuwa kushoto kwako kama unatokea white sands ukishavuka daraja, kile ni kiwanja changu.