nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,248
kama songea ni nje ya nchi sawaYuko masomoni nje ya nchi aliaga
kama songea ni nje ya nchi sawaYuko masomoni nje ya nchi aliaga
Tulia Ackson Mwansasu na sio Mwang'ondaNinguwekea hapa Hansard ya majibu ya naibu Waziri mmoja tens ilijkuwa Siku ile Sugu anatoka jela alimtaja naibu spika zaidi ya Mara tatu kwa jina la mh Tulia Ackson Mwang''onda
Pale k'nyama sio!!?..ukiingia unanyooshaa,unakata kushoto then kulia then....Ndiyo. Si ile ya Emilius Mzena
Watu wanashindwa kutifautisha wakati ni majina tofauti.Tulia Ackson Mwansasu na sio Mwang'onda
Kuna kale ka pub opozit na geti watu wanakula mavyakula na mabia mi sikaelewielewi Kwanini kako pale au ni kao yani kale já pub kana watoto bomba halafu mapaja yamejaa nilijimegea mmoja akawa ananiambia nichenji patern za Siri kutoka namba mpk za Kuchora nikamshtukiaPale k'nyama sio!!?..ukiingia unanyooshaa,unakata kushoto then kulia then....
Kile kimgahwa ni chao aisee na Kiki pale stratejikali haiwezekani katazamane na geti kuu ambalo vigogo wanaingia na kutoka bila wao kukaratibuKuna kale ka pub opozit na geti watu wanakula mavyakula na mabia mi sikaelewielewi Kwanini kako pale au ni kao yani kale já pub kana watoto bomba halafu mapaja yamejaa nilijimegea mmoja akawa ananiambia nichenji patern za Siri kutoka namba mpk za Kuchora nikamshtukia
Kwani una kadi ya kuingia hapo hospital?Kile kimgahwa ni chao aisee na Kiki pale stratejikali haiwezekani katazamane na geti kuu ambalo vigogo wanaingia na kutoka bila wao kukaratibu
Halafu hivi nikitaka kuingia pale nikiulizwa nasema Naenda hospital nitasimamishwa mbona watu kibao Ingia toka Tena wengine na baiskeli
Ndo maana Jiwe akamtolea nje...Hawa waovu wnaogopa vifo, meno tu akatibiwe nje??
Kuna madem wazuri pale..japo wengine wabaya...labda alikua fieldKuna kale ka pub opozit na geti watu wanakula mavyakula na mabia mi sikaelewielewi Kwanini kako pale au ni kao yani kale já pub kana watoto bomba halafu mapaja yamejaa nilijimegea mmoja akawa ananiambia nichenji patern za Siri kutoka namba mpk za Kuchora nikamshtukia
Wanaoingia aidha ni wana apolo au ndugu wa mwana apoloKile kimgahwa ni chao aisee na Kiki pale stratejikali haiwezekani katazamane na geti kuu ambalo vigogo wanaingia na kutoka bila wao kukaratibu
Halafu hivi nikitaka kuingia pale nikiulizwa nasema Naenda hospital nitasimamishwa mbona watu kibao Ingia toka Tena wengine na baiskeli
Mh siku hizi mnavuana nguo tu hadharani,yaani taarifa za huko mkichokonolewa tu basi,mnamwagika kwl kazi ipoMara ya mwisho alionekana kwa Mkulu akiomba ruhusa kwenda matibabu London ili kutibu meno. Mkulu alimkatalia akaagiza fedha alizokuwa anaomba kwenda nje zitumike kuagiza vifaa vya kutibu meno, viwekwe pale kambini Kijitonyama (hospitali ya kitengo) ili Mzee Kipara aende pale atibiwe. Mzee Kipara aliamua kwenda kutibiwa kwa gharama zake mwenyewe.
Kuna mabakabaka kama ya jw ila zenyewe zimepauka wako makini haooooooWanaoingia aidha ni wana apolo au ndugu wa mwana apolo
WiFi tele na kujifungia kwenye hivyo vibanda kunawafanya wapotezi utimamu wao...Mh siku hizi mnavuana nguo tu hadharani,yaani taarifa za huko mkichokonolewa tu basi,mnamwagika kwl kazi ipo
Alikua na mchepuko wake mmoja anakaa Upanga kilikua chuma kweli kweli
Mh siku hizi mnavuana nguo tu hadharani,yaani taarifa za huko mkichokonolewa tu basi,mnamwagika kwl kazi ipo
Aaaah mi nimechoka kwa kwlHayo ndiyo madhara ya Kuajiri Watu Idarani kwakuwa tu walikuwa ' idle ' nyumbani huku wengine wakiishia tu Kubaka ' House girls ' wao na ' Kudokoa ' Nyama Jikoni matokeo yake wanakosa kabisa ' Maadili ' muhimu ya ' Usiri ' na ' Umakini ' ambayo ndiyo Kanuni Mama ya hiyo medani tukuka kiasi wanaishia Kuropoka / Kuzoza tu hovyo.
Muulize ulimboka..!Habari wana JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.
Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.
Yupo wapi mtu huyu?
Pale hamna kitu ndugu,kuna wakurugenzi na shughuli za kawaida tu..na hiyo hospitaliKuna mabakabaka kama ya jw ila zenyewe zimepauka wako makini haoooooo
Halafu hivi ule ubalozi Kwanini uko pale nyuma ya igo wing hawa wageni wasikaribie moyo wa taifa bana
Hao wanaoropokaropoka mtaani ni wa kawaida tu..siri zipo na wabeba siriHayo ndiyo madhara ya Kuajiri Watu Idarani kwakuwa tu walikuwa ' idle ' nyumbani huku wengine wakiishia tu Kubaka ' House girls ' wao na ' Kudokoa ' Nyama Jikoni matokeo yake wanakosa kabisa ' Maadili ' muhimu ya ' Usiri ' na ' Umakini ' ambayo ndiyo Kanuni Mama ya hiyo medani tukuka kiasi wanaishia Kuropoka / Kuzoza tu hovyo.