Yupo wapi Benson Bana msomi nguli na kada wa CCM?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Bana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono CCM.

Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia CCM.

Mwenye taarifa zake tafadhali
 
Ni muda hajasikika au kwa vile hatuangalii zile TV zenye maagizo ya nani atangaze, nani ahojiwe na nini kitangazwe. Vile vile yawezekana hajafurahishwa na kinachoendelea nchini. Kama kuna mwenye taarifa zake atatujulisha na kutueleza ni nini kinamfanya akae kimya.
 
Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.

Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.

Mwenye taarifa zake tafadhali
Yupo Bukoba anatarajia kumng'oa Lwakatare 2020!
 
Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.

Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.

Mwenye taarifa zake tafadhali
Atakuwa kishapata uteuzi
 
wakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.
 
Au inawezekana kapewa shavu la ubalozi?
Ni muda hajasikika au kwa vile hatuangalii zile TV zenye maagizo ya nani atangaze, nani ahojiwe na nini kitangazwe. Vile vile yawezekana hajafurahishwa na kinachoendelea nchini. Kama kuna mwenye taarifa zake atatujulisha na kutueleza ni nini kinamfanya akae kimya.
 
Ccm haijawahi kushinda kwa kutegemea sanduku la kura
wakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.
 
Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.

Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.

Mwenye taarifa zake tafadhali
Amejitahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kujikomba, bado mzee baba hajamuona! mshauri asikate tamaa, mavyeo bado mengi!
 
Kweli wewe ni kada uchwara wa ccm kama unashindwa kuwatambua makada wenzako
Hii ni awamu ya 5 hatuangalii makunyanzi!

Mimi nawatambua akina Lowassa na kundi lake waliozaliwa upya hao zilipendwa majina yao yameandikwa kwa penseli siwezi kusoma!
 
Naona kesha kata tamaa sasa ameamua kuthamini mate yake maana yanatumika pasipo matokeo chanya
Amejitahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kujikomba, bado mzee baba hajamuona! mshauri asikate tamaa, mavyeo bado mengi!
 
Tatizo unarukia treni kwa mbele maana kama wewe ni kada wa kweli wa ccm huwezi kusema humjui Balozi Hamis Kagasheki

Back
Top Bottom