Yupo wapi Benson Bana msomi nguli na kada wa CCM?

Soon tutaanza kuandika thread hapa kuulizana yupo wapi mwanaharakati nguli Maagi Mulaga au Cyprian Musiba its the matter of time. Condom hutupwa baada ya kutumika.
 
Tatizo unarukia treni kwa mbele maana kama wewe ni kada wa kweli wa ccm huwezi kusema humjui Balozi Hamis Kagasheki

Mkuu vipi mahaba kwa nyumba ya jirani. Ni hatari kwa ndoa yako. Uanamume ni kutaja na kusifia ya nyumbani mwako mana una uhakika nayo
 
wakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.
Acha kudanganya ccm haipati ushindi kupitia sanduku la kura, bali ni wizi, matapeli, hila, ghilba, kujitangaza, kukimbia na masanduku ya kura, kutumia usalama wa taifa kuiba kura, kutumia wakurugenzi, watendaji wa kata, kutumia polisi mpaka uchawi.
 
Asante sana chief

Ndoto zake za kuwa mkurugenzi wa taasis mojawapo ya serikali au mwenyekiti wa bodi zimefifia na amekata tamaa
 
Back
Top Bottom