Yupo wapi Benson Bana msomi nguli na kada wa CCM?

Yupo wapi Benson Bana msomi nguli na kada wa CCM?

wakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.

Hakuna mwanaccm anayetegemea kushinda kura kwa njia ya box la kura, ccm wote kuanzia mwenyekiti wao, tegemeo lao Ni kushinda uchaguzi kwa mbeleko ya tume ya uchaguzi na vyombo vya dola fullstop. Huyo Dr. Bana hamna anayemlipa sasa hivi kwenda kwenye TV kuitetea serikali, hivyo hawezi kwenda kuitetea serikali isiyomlipa chochote. Hakuna mtu yoyote anayeitetea ccm/serikali bila kuwa na maslahi binafsi.
 
Soon tutaanza kuandika thread hapa kuulizana yupo wapi mwanaharakati nguli Maagi Mulaga au Cyprian Musiba its the matter of time. Condom hutupwa baada ya kutumika.
Sio kutupwa tuu bali kufukiwa kwenye shimo la taka watoto wasijeokota
 
Nilikuwepo kwenye kongamano moja pale bukoba mjni watu wanajiapiza kuwa wapo tayari kumchagua mpinzani yeyote yule hata kama anatoka chama cha Lyatonga kuliko kuichagua ccm iliyo watelekeza kwenye tetemeko
Siasa za BK ni ngumu wananchi wamenyamaza maana siasa za ghiriba waalisha zichoka
 
Back
Top Bottom