Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Muongooo wanaume waoaji wapo ila mnataka matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoongea ni kweli, kuna mwanamke nilimuaaproach nikamwambia malengo niliyokuwa nayo pasipo kumficha kilichotokea Mungu ndo anayejua, wanawake wasahiv waliowengi hawana mda wa kukusubiria utumize malengo yako,

Tafuta ela ukishazipata ndo watakuelewa, au utumie uongo wa hali ya juu ndo utawapata, hy tamina ya kusubiria mpaka utimize malengo na upate mafanikio waliiweza mama zetu
 
Kuna watu wana retarded mind, yani ukiwaza tofauti na wao ni tatizo. Ghafla wanakuwa watabiri wa maisha ya watu, na kukuombea mabaya juu khaa.
My step daughter kuna mahali nimekutag umeona? Ukuje wazap nikupe ubuyu wake
 
Pole sana na utasutwa mpaka, mtu umemtolea mpaka barua kisha ukamuacha lakini ndiyo hivyo
Kiukweli kuna mdada mmoja nilimpenda sana nae alinipenda sana akakubali kubadili dini,na nikapeleka barua kwao ikapangwa mahar tena ya kawaida sana.kipind hicho sikuwa chema kama sasa nilipata kazi Ukraine nilikataa kwenda ila yeye alinishauri sana nikakubali nikaenda tukawa tunawasiliana kama kawaida.before ya kuwa nae nilikuwa na mwanamke mwingne tulipitia maugomv meng sana.nilipo rud tz sijui akili yangu ikawaje nikafanya sherehe pasina kujua na kuoa yule mwanamke wa kwanza na wala Sikh kaa sana nikaletewa barua ya kusitishwa kaz ila sikujali coz nilipewa pesa zote.niliumia sana juu ya hilo yule mwanamke niliepeeleka barua hakujua kama nimeoa akawa yuko na mm kama kawaida bahat nzuri nikapata tena kaz italiy na Niko mpaka sasa kiukweli sina furaha katika ndoa yangu kila wakat yule mwanamke ananijia akiwa analia ndotoni hakuwa kunikosea hata Mara moja.sina shida ya pesa kabisa ila nakosa AMAN YA MOYO NA NAFS.kwa hyo katika mahusiano tujaribu kuwa makini sana katika kuchagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom