Yule ambae humtaki ndio mumeo

Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....

Sent using Jamii Forums mobile app

jaribu dear, kumpenda anae kupenda faida ni nying sana, zile kero za mahusiano huwa hazipo kabisaaaaa, na with time yale matendo yake mazuri kwako utajikuta umempenda tu.
 
Wanawake bana hivi huko kwenye moyo kuna nn.? Mtu anakwambia moyo umegoma.

wanaume wengi tunatamani vitu viwili tu kwa mwanamke umbo lake na rangi yake baasi.hatuangalii amesoma, kabila, dini,ana kazi ,ana nyumba,gari n.k

Sent using Jamii Forums mobile app

hata mimi mambo ya kuendekeza moyo nilivyoachana nayo, nikampata na mume mwenye upendo wa kweliii kabisa, matatizo madogo madogo ambayo. sio issue sana. usipoendekeza moyo unatumia akili yaani mambo yako yanakuwa super
 
Sio kweli...labda wewe tu ndo unatamani vitu hivi

Sent using Jamii Forums mobile app

ni kweli asemacho, mimi zamani wakati naendekeza moyo nilikuwa na jamaa mmoja akaniambia live kabisa kuwa wanaume wanataka sex tu kwa wanawake, na akanihakikishia kabisa kuwa nipo nae kwa ajili ya sex tu, nilijisikia vibaya sana . na akanimbia hata ukiniachana na ukawa na mwingine pia atahitaji sex tu. hata akupe pesa kiasi gani ila kwako anataka sex tu. NDO MAANA WANAUME wanakuwa na mtu yeyeote yule mradi ana k baasi.
 
Mmmmmh huyo mshenzi....ikawaje sasa ukannwaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaribu dear, kumpenda anae kupenda faida ni nying sana, zile kero za mahusiano huwa hazipo kabisaaaaa, na with time yale matendo yake mazuri kwako utajikuta umempenda tu.
Tusilazimishane jamani.....moyo ukigoma umegoma

Ingekuwa anaekupenda anauvua ubinadamu na kuuvaa umalaika basi sawa lakini huyo usiempenda usiombe akukosee ndo utapoona mateso ya kuolewa na usiempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee walikuwa wachepukaji wazuri akiolewa na mwanaume mwaka hana mtoto kimya kimya
hata watoto 10 mwanaume hawezi gundua mpaka anakufa walikuwa na uzinzi wa kisiri siri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko vizuri katika hii sekta ya kuigiza furaha ilhali moyo unaungua

Huu mchezo unachezwa mpk saiv sema wa zamani walituzidi usiri na adabu kidogo kwa waume zao lkn ndo walikuwa wanazaa hata watoto 5 nje 1 ndo wa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu mwanaume huwa hapendwi,anaheshimiwa tu,unahitaji mwanaume ambaye unamuadmire,sio laazma humpende wakati mwingine unafanya makosa makubwa kwenye maisha kwa kuolewa au kuo mtu unampenda,sababu ya mwisho kabisa ya maamuz ya kuoa au kuolewa ni hiyo romantic love.marriage sio jambo dogo,wakati moyo unaweza kupenda mtu yoyote
 
Tusilazimishane jamani.....moyo ukigoma umegoma

Ingekuwa anaekupenda anauvua ubinadamu na kuuvaa umalaika basi sawa lakini huyo usiempenda usiombe akukosee ndo utapoona mateso ya kuolewa na usiempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimekuelewa unatakiwa kuwa na mtu unayempenda tu,kwaho hata akikufanyia ubaya utavumilia kwa sababu unampenda ? hata akiwa anamichepuko utavumilia kwa sababu unampenda ? hata asipokujari utavumilia kwa sababu unampenda ? okay nimekuelewa
 
Back
Top Bottom