Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Tango pori kivip kama ungekua unatumia akili usingekua unabisha, argument zako zinaonyesha hutumii akili Bali moyo
Tango pori kivip kama ungekua unatumia akili usingekua unabisha, argument zako zinaonyesha hutumii akili Bali moyo
touch down!Ishu sio mwanaume maskini ishu ni kilicho ndani ya huyo maskini,je ana vision gani?where do he see himself in future ili nami kama wife nimsupport?as sisi kama wake tumeitwa wasaidizi na wasaidiz sio tu kwenye home chores bali mpaka kwenye vision za waume!So akiwa na vision na unaona kabisa yuko focused you just go for it hata kama leo yuko maskiniBeen there done that, na hata nikimkataa maskini sio dhambi. Uwe maskini, ila uwe na attributes nyingine za kunifanya niwe na wewe. Ila kufikiri umaskini wako utanivutia; hapana mpendwa. Na hata huyo ambaye leo hii hana kitu, lazima tuangalie kama ana promising future. Kama anajivunia na karidhika na umaskini wake, kwa kweli atapambana tu na hali yake. Hata tulio maskini leo, moyoni tuna kiu na tunafanya juhudi za kutoka huku.
touch down!Ishu sio mwanaume maskini ishu ni kilicho ndani ya huyo maskini,je ana vision gani?where do he see himself in future ili nami kama wife nimsupport?as sisi kama wake tumeitwa wasaidizi na wasaidiz sio tu kwenye home chores bali mpaka kwenye vision za waume!So akiwa na vision na unaona kabisa yuko focused you just go for it hata kama leo yuko maskini
Exactly what I wrote.....!touch down!Ishu sio mwanaume maskini ishu ni kilicho ndani ya huyo maskini,je ana vision gani?where do he see himself in future ili nami kama wife nimsupport?as sisi kama wake tumeitwa wasaidizi na wasaidiz sio tu kwenye home chores bali mpaka kwenye vision za waume!So akiwa na vision na unaona kabisa yuko focused you just go for it hata kama leo yuko maskini
Sometimes we call them fatal mistakes...... ujue mara zote kupenda huwa anaanza mwanaume.... na ikitokea umeanza kumpenda mwanaume wewe mdada na jamaa akakuelewa inakuwa ni bahati sana maana mara zote kinachotokea ni hicho alichokisema mtoa mada.Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
(Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.)
Inawezekana lkn kwa msaada wa michepuko...miaka nenda rudi na hutogundua kirahisiMwanamke kuishi na mtu asiyempenda inawezekana kabisa.Ila mwanaume kuishi na mwanamke asiyempenda hawawezi kudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unaongea na mtu aliyepitia hayo mahusiano ya kuchaguliwa najua nini nakisemaUmesahau kua mwanaume ana asilimia90 ya kuchagua ampendae kumuoa ila kwa mwanamke ni 10 kujichagulia mwanaume wa kumoa kueni makin na muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Walau hisia ziwepo basi sasa hisia hata punje hazisomi....ukalale nae huyo uamke nae ule nae umuhudumie akiugua...inahitaji mtu imara sana atangulize utu na huruma vinginevyo hachukui round anabwaga manyanga.....jamii inaanza kumuhesabia ndoaAt the same time mwanaume anasema wacha nikazanie yule ninaempenda nimuoe, inakua haina maana ni kukimbizana tu huyu anampenda yule, yule anampenda yule, na probability ya kukuta mnaopendana kama unavyomaanisha ni ndogo mno.
Unatusonkola kama vileWadada mama chagueni mumtakae hata ukifika miaka 40 hujaolewa kama una amani na maisha yako na yanaenda Endelea mama Chambua mpaka tuchambuke..Hta ikifka miaka 70 TU utaolewa mgeuke Kina KAPUYA
hahahah walaaa mkuuu...
Exactly mkuu....nakuelewa!Sometimes we call them fatal mistakes...... ujue mara zote kupenda huwa anaanza mwanaume.... na ikitokea umeanza kumpenda mwanaume wewe mdada na jamaa akakuelewa inakuwa ni bahati sana maana mara zote kinachotokea ni hicho alichokisema mtoa mada.
Lkn mwanaume akikupenda (of course asiwe hata hatambulishiki kabisa) wajibu wako ni kujiridhisha ni kujiridhisha na vigezo vyamsingi vya mtu kuwa mume haya mambo mengine ya roho yako kumpenda mbona huwa yanakuja baadae tena utakuja kumpenda hadi unajishangaa.
Inawezekana lkn kwa msaada wa michepuko...miaka nenda rudi na hutogundua kirahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh nyie jmn can u even kiss mwanamke usiempenda?..Hapo ndipo unaposhangaa sasa, kimsingi mwanamke anaweza mpenda mwanaume yeyote akiamua kufumba macho asiangalie kushoto wala kulia. Kinachofanya wasasa wawe wachaguzi si kwa kuwa wapo huru kuangalia design nyengine kila siku. Enzi hizo binti anaambiwa huyu ndio mume wako...na anatulia tulii anazaa na kuwa na familia kabisa bila kelele.