Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

WANAWAKE WABINAFSI SANA NYIE...

NI SUALA LA KUUSET MOYO TU...UTAMPENDA TU...HIVI WAKATI ULE MAMA ZENU WALIOKUWA WANAOLEWA NA MWANAUME HATA HAMJUI...JUST KWA SABABU BABA YAKO NA BABA YAKE WANAFAHAMIANA BASI WANAKUBALIANA KUOZESHANA...NA WANADUMU...

NYIE WA SASA MNAJIKUTA WAJANJA NA WAJUAJI..
Wanaume ndo wabinafsi naona
We unataka upende mwenzio aendeee tuu bila kujali anafeel aje lol
 
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini msingi wa ndoa ni mapenzi na kupelekea sababu nyingine...
Ni vyema kuridhiana wote wawili si upande mmoja tu
 
touch down!Ishu sio mwanaume maskini ishu ni kilicho ndani ya huyo maskini,je ana vision gani?where do he see himself in future ili nami kama wife nimsupport?as sisi kama wake tumeitwa wasaidizi na wasaidiz sio tu kwenye home chores bali mpaka kwenye vision za waume!So akiwa na vision na unaona kabisa yuko focused you just go for it hata kama leo yuko maskini
Bora maskini mwenye vision kuliko tajiri mpumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umebaki unadanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
100% Walio Like huu Ujumbe ni jinsia ya Kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Enyi mabinti nawashaur huu mchezo wenu wakubeti ndoa unawaponza sana,mnatufanyia bahati nasibu ss wanaume afu hatimae hukosa wote na muda kupoteza...
Akija mwanaume umelizka na tabia na imani ya dini yake mspoteze muda mfunge ndoa hayo mambo mengne ni tamaa tu za fisi hukiziendekeza utachanika msamba.
 
Mhh nyie jmn can u even kiss mwanamke usiempenda?..
Haha sio kazi rahisii kukubali js bcz the guy anakupenda
Bora kupendana japo kidogo
Hahah find the good kwa huyo jamaa utampenda tu. Kwa sie vidume iko easy maana sie ndio tunawachagua. Wajibu wenu ni kutii masharti tu sie tutaendelea kuwapenda adi mwisho!
 
Wewe usipate tabu na mke wa mwanaume mwenzio. Peleka mentality zako za kijima kwa mkeo; viatu vyangu havikutoshi young boy
Aaah wapi mwanamke aliyeolewa au asiyeolewa utawajua Kwa arguments zao, argument zako za nyuma inaonekana hujaolewa au umeolewa na MTU ambaye hujaridhika naye
 
Hahah find the good kwa huyo jamaa utampenda tu. Kwa sie vidume iko easy maana sie ndio tunawachagua. Wajibu wenu ni kutii masharti tu sie tutaendelea kuwapenda adi mwisho!
Mambo ya moyo mtihanii mwishowe umsaliti kisa hujaridhika nae
I thnk huu uzi umelenga kutetea wanaume wanaokataliwa...tukumbushane kwny kuchagua kuna mwanamke kusema yes or no

Labda vijana wajikite ktk kuboresha mbinu zao nk

kumtishia mtu asiekupenda haisaidii sn nadhani
Smtimes mtu akikukataa js move on i mean u never know
 
Hahah utishwi ila unatengenezewa mazingira ya kupenda pia.
 
Back
Top Bottom