Yule ambae humtaki ndio mumeo

Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??

Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ndo furaha yako kwa mtu aliyekua anakukojoza?
 
Tatizo dada zangu mlio wengi hamuwaoni masikini wenye vision,mwisho wa siku mnawaona matajiri wapumbavu mf halisi mimi ninayo kwa dada yangu tumbo moja tumezaliwa,sometimes huwa namwaangalia naishia kuakaa kimya.
Mshauri hata kwa mafumbo kaa kimya atakuletea wajomba nyumbani na utawatunza na kusomesha
mpaka mwisho maana baba zao hawaeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli asemacho, mimi zamani wakati naendekeza moyo nilikuwa na jamaa mmoja akaniambia live kabisa kuwa wanaume wanataka sex tu kwa wanawake, na akanihakikishia kabisa kuwa nipo nae kwa ajili ya sex tu, nilijisikia vibaya sana . na akanimbia hata ukiniachana na ukawa na mwingine pia atahitaji sex tu. hata akupe pesa kiasi gani ila kwako anataka sex tu. NDO MAANA WANAUME wanakuwa na mtu yeyeote yule mradi ana k baasi.
Shenzi kabisa, uliendelea naye kweli kama mie pale tungeagana milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko vizuri katika hii sekta ya kuigiza furaha ilhali moyo unaungua

Huu mchezo unachezwa mpk saiv sema wa zamani walituzidi usiri na adabu kidogo kwa waume zao lkn ndo walikuwa wanazaa hata watoto 5 nje 1 ndo wa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani labda aliyezaliwa mjini hajawahi sikia lakini tuliozaliwa vijijini hizo za kuzaa nje nyingi sana na ni siri kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli asemacho, mimi zamani wakati naendekeza moyo nilikuwa na jamaa mmoja akaniambia live kabisa kuwa wanaume wanataka sex tu kwa wanawake, na akanihakikishia kabisa kuwa nipo nae kwa ajili ya sex tu, nilijisikia vibaya sana . na akanimbia hata ukiniachana na ukawa na mwingine pia atahitaji sex tu. hata akupe pesa kiasi gani ila kwako anataka sex tu. NDO MAANA WANAUME wanakuwa na mtu yeyeote yule mradi ana k baasi.
Sio kweli Kwa 100, wako wanaume wanaotaka wanawake Kwa ajili ya kujenga maisha, na maisha ni zaid ya sex
 
Kama nimekuelewa unatakiwa kuwa na mtu unayempenda tu,kwaho hata akikufanyia ubaya utavumilia kwa sababu unampenda ? hata akiwa anamichepuko utavumilia kwa sababu unampenda ? hata asipokujari utavumilia kwa sababu unampenda ? okay nimekuelewa
Hujanielewa wewe,

Unaempenda ni rahisi kumvumilia, kumsamehe lkn haizuii kumuacha na moyo unaridhia

Usiempenda utaishi kinafiki sana ndani yako hayumo kabisa akikosea hutamsamehe na unaweza kuishi nae muda mrefu tu kuliko huyo unaempenda ....lakini kinafiki

Sijui umenielewa?

MTU ukimweka moyoni kumwcha ni ngumu sana sio rahis hata kidogo kama unavyodhani, ndo maana tunashauriwa tushiweke watu moyoni kirahis rahisi
 
Hujanielewa wewe,

Unaempenda ni rahisi kumvumilia, kumsamehe lkn haizuii kumuacha na moyo unaridhia

Usiempenda utaishi kinafiki sana ndani yako hayumo kabisa akikosea hutamsamehe na unaweza kuishi nae muda mrefu tu kuliko huyo unaempenda ....lakini kinafiki

Sijui umenielewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Then kote unakuwa mnafiki kwa sababu huyu unayempenda nae anakuumiza hausemi kwa sababu unaogopa kumpoteza na wenyewe unakuwa unafiki.ww unafikiri wanawake wanaotoka nje ya ndoa nikwasababu hawawapendi waume zao ? wapo wanaotoka kwa sababu waliwapenda sana waume zao na kuwaheshimu lakin waume zao hawakujali hisia zao na hao wapo wengi zaidi
 
Haya

Back
Top Bottom