Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

At the same time mwanaume anasema wacha nikazanie yule ninaempenda nimuoe, inakua haina maana ni kukimbizana tu huyu anampenda yule, yule anampenda yule, na probability ya kukuta mnaopendana kama unavyomaanisha ni ndogo mno.
Mara nyingi tena nyingi Sana kukuta wote mnapendana ni nadra sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's my girl hebu waambie. Tatizo wanaume wasio na hela wanakuwa insecure kama ulivyosema yaani huwa wanaona wenzao wenye pesa hawana haki ya kupendwa au sijui namma gani, yaani ni marufuku kuwakataa, ukiwakataa tu we mpenda pesa loh yaani wanajikutaga wao tu ndio wana mapenzi ya kweli na wako loyal haha

Hahaha mbona umaskini na loyalty teh
 
Teh huku kwetu kuolewa is everything buana

As time goes hizi mambo zitaisha, watu wanapeana pressures mpaka mtu unajikuta unaingia kwenye relationships ambazo ni full of headaches.

We should learn to live our lives for us not for them.

Halafu sasa tulivyokuwa wanafiki, ukiwa kwenye ndoa ina shida wale wale waliokupa pressure wanafurahia behind your back.
 
Kuwa basi tuone mwisho wako...katika wanawake wabovu na hawafai kuoa ni kama wewe...yaani mwanamke jasiri kama wewe hata hofu huna...hapana aisee...unasema sema tu bila kufikiria...hata bure sioi...
Hebu kafie mbele huko...umeambiwa mi natafuta bwana humu?

We unayeona kuolewa ni big deal, olewa basi?

Mwanamke una kihemswede kama nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe afu yakikushinda ukaamua kukaa kando; bado utasikia "mwanamke mpumbavu" mweeh
As time goes hizi mambo zitaisha, watu wanapeana pressures mpaka mtu unajikuta unaingia kwenye relationships ambazo ni full of headaches.

We should learn to live our lives for us not for them.

Halafu sasa tulivyokuwa wanafiki, ukiwa kwenye ndoa ina shida wale wale waliokupa pressure wanafurahia behind your back.
 
Hehehe afu yakikushinda ukaamua kukaa kando; bado utasikia "mwanamke mpumbavu" mweeh

Exactly, Bongo humanity ni 0%.

Ukiwin ndoa ikachangamka utasikia anajifanya wanapendana, katusahau ndugu zake and so so.

Hakuna maisha utakayoyaishi kama utataka kuishi kwa kuwafurahisha wengine.

Tena kuna wengine wanakulengesha machakani ili uwe kama wao.
 
Hahaha haki nimecheka. Kweli kabisa ukisema ndoa yako ipo vizuri utaambiwa mnafiki au subiri ifikishe miaka kadhaa. Yani ukiishi kufuatisha hii jamii ni imekula kwako

Naomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30]
IMG-20181220-WA0006.jpg
 
Hatimaye umekuja teh
As time goes hizi mambo zitaisha, watu wanapeana pressures mpaka mtu unajikuta unaingia kwenye relationships ambazo ni full of headaches.

We should learn to live our lives for us not for them.

Halafu sasa tulivyokuwa wanafiki, ukiwa kwenye ndoa ina shida wale wale waliokupa pressure wanafurahia behind your back.
 
Hahaha haki nimecheka. Kweli kabisa ukisema ndoa yako ipo vizuri utaambiwa mnafiki au subiri ifikishe miaka kadhaa. Yani ukiishi kufuatisha hii jamii ni imekula kwako

Shida sana, it starts with us.

Maisha ni sisi siyo wao, ukiishi kuwafurahisha watu utajikuta unayumbayumba.

Kwenye issue za mahusiano naamini kuna muda unapata mtu mna-click, it comes automatic.

Na hata isipokuwa ulivyotarajia, unaweza kuiishi ile guilty in a way kwamba hata ukirudi nyuma you can still pick the same course of action.
 
Trust me kuna muda mapenzi yanagoma kabisa kujengeka. Angalau ndoa za wazee wetu ambazo unajikuta tu ndoani na huna option so unapambana na hali yako. Siku hizi tuna uhuru wa kuchagua tumtakaye; moyo ukigoma unauacha tu
Katika laana aliyopewa mwanamke ni tokua na uwezo wa kutokutumia akili, mambo mengi wanayofanya wanawake wanatumia moyo (hisia) na sio akili, na hiyo ndo tofaut kati ya mwanamke na mwanaume, nakushaur jifunze kushirikisha akili na usitegemee moyo, akili lazima iicontrol moyo na sio moyo ucontrol akili
 
Hii ni kweli katika harakati za kujua mwanamke ni mtu gani nilizamia grup moja la whatsapp la wanawake tupu..hakika wakiwa pamoja ndio utajua kweli akili ya mwanamke ni tofaut sana na 80% inaendeshwa kwa hisia tu.
 
Mimi pia nilikuwa nafikiria kama wewe ila miaka ya karibuni nimebadili mawazo. It's not always the case, speaking from experience
What made u change ur opinion over this matter??Anyway at least u have tried enough...

From my point of view....
We can't force love to happen..Tho it would have been better if u give yourself a chance to love; U might end up falling in love so deeply.... If it won't work out that won't be your problem...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most of times wanawake huwa tunajifunza kupenda kwa sababu huwa tunatongozwa; unlike nyie ambao mnatufuata. Jamaa anakufuata from nowhere; anaanza kukuimbisha, caring kwa sana, mnaspend some times ; taratibu unajikuta kamoyo kanashtuka umefall.

Sasa mwingine anakufuata pamoja na yote hayo; yani moyo unagoma tu bila sababu. Sifa njema anazo but moyo hautaki kabisa. Exactly what you wrote...
Yes!!That's exactly what I meant!!!we can't force love to happen but we can learn to love someone..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom