Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Dah mjomba mjomba mi nitaolewa ila sio ambaye hana gari pesa na nyumba.
Mmjomba:mwanangu vyote hivyo mtapata kama wote mtakuwa mnakazi .
Kiherehere: hapana siwezi.
Kuanzia akicheka anamwanya mpaka nyota yangu na pipi.
Mmjomba:mwanangu zasiku
K:Salama
M:mwanangu joyce ameolewa tena alienda kwa mumewe ni mjamzito na sasa amejifungua watoto mapacha wewe ndoa bado tu?
K:mmjomba na tafuta bado
M:nini ambacho hukipati ni wenzio wao wanapata na kumiliki.
K:mwanaume mwenye hela haya mmjomba nikutakie siku njema haya mwanangu (ukute hapo ka 25 kako au ka 30 kako.)
Baby i love u ya chotara au pipi ya marlow na rita mpaka diamond 2012 ya emoyo wangu na 2011 mbagala akiwa pipi machungwa bado hanunui.
Hapo raynavy na harmonize na hawa wengine wakina zari hatuwajui bado kuzaa na daimond.
M : hujaolewa tu ???(ulikuwa mshangao mmoja sasa miwili hadi ??? Sita)
K: bado natafuta yule mtu(unapewa kibomu)
M:Joy sasa anamtoto wa pili wale mapacha wapo sasa la pili .
K🙁unakodoa macho kwa aibu dah mmsalimie haya )
K: na 30 au na 35 na mwenzangu ana 25 anawatoto watatu hii niaibu.
Tokea ee roho yangu mpaka your my number one ya davido na dai upo tu mmjomba wako kakuchoka mazungumzo yapo hivi.
M:hujambo mwanangu
K:sijambo (badala akuulizie wewe yupo hivi)
M:mama hajambò je wengine haya kuna mahali naenda tutaonana.
K: haya ila mbona haraka?
M: nawahi mahali usijali iko siku tutakaa tuonge zaidi au karibu nyumbani.
K: asante sana.
Ua my number one hadi tetema naye mmjomba wako akikuona anakimbia maana anadhani umelogwa.
Mtabisha ila sisi tunaojiisi wazuri wasomi wachambua mambo tunashida sana watu wameolewa uliosoma nao primary secondary o-level hadi A kama ulipitia sie washort kati diploma and certificate makazini kazi kujiremba tu nakwenda harusi za wenzako.
Haya bhana kwangu kuwafungua macho hapa ndio nimekomea endeleeni kuchagua Yesu atakukuta ukichagua atakuuliza wewe 2006 nilikupa Geofrey ukamkata ulipomaliza o level na 2007 -2008 nilikupa matayo ila hujamkubali 2009 -2011 nilikupa wengi tu akiwemo jimmy na 2012-2019 bado nakupa tu naupo single aise mwisho huu wadunia nimekuja chukua wangu
Sio mke amekuja kuwahukumu walio hai na wafu asepe nawale wazuri tu wewe bado unashangaa unatafuta Mr Right kumbe Mr right niwakumtengeneza wewe mwenyewe hao wote unaowaota unajua kwanini huwapati ni wametengenezwa na wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is kuolewa a big deal?

I wish ifike time Bongo kila mtu aweze kuishi maisha anayoyataka bila interferences za watu.

If you decide to live single be it, hizi pressures ndiyo zinafanya watu wanaingia kwenye ndoa ambazo zinakuwa ni misalaba, kisa tu watu wasinione wa ajabu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo kuna mwanadada nilikuwa nampenda sana nikasema huyu lazima Nimuweke mtu kati nimuheshimishe nimpe maisha. Baada ya kuwa nae kwenye mahusiano for 2 months nikagundua kuwa hana hadhi ya kuwa mke wa mtu yeyote. Ana vitabia vya kishenzi sana. Nadhani ndio maana hajaolewa hadi leo na umri umesonga she'z abt 28 na uzuri wake wa nje nikawa najiuliza hivi kweli wanaume hawajamuona kweli??? Kwann haolewi

Basi na mm nikamuongezea milage nikamuacha. Ila kwa nje ni mwanamke mzuri sana anaestahili kila kitu. Lakini Ovyo kabisa. Najuta kukutana nae maana ndio mmoja ya watu ambao hawatoki kichwani kwangu.

Shenzy kabisa

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Mkuu hivyo vijitabia ungevitaja ili wanaume wajifunze
 
Is kuolewa a big deal?

I wish ifike time Bongo kila mtu aweze kuishi maisha anayoyataka bila interferences za watu.

If you decide to live single be it, hizi pressures ndiyo zinafanya watu wanaingia kwenye ndoa ambazo zinakuwa ni misalaba, kisa tu watu wasinione wa ajabu.
You will leave alone ukizeeka hutokuwa na support kaa basi mwenyewe mpaka siku ya mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is kuolewa a big deal?

I wish ifike time Bongo kila mtu aweze kuishi maisha anayoyataka bila interferences za watu.

If you decide to live single be it, hizi pressures ndiyo zinafanya watu wanaingia kwenye ndoa ambazo zinakuwa ni misalaba, kisa tu watu wasinione wa ajabu.
Naunga mkono 🍔
Kula nitalipa mkuu
 
Yeah maskini ana mda na wewe zaidi, tajiri ana mda na pesa zake
Mmh kuna maskini na wana muda zaidi na vilabu na wanawake kuliko familia zao.

Matajiri wengi tu wanakuwa busy na pesa and yet wanatenga muda wa kuwa na familia zao. Tusitiane moyo na umaskini wetu, hatuupendi ila ndo vile no way out. Na umaskini sio guarantee ya kuwa na upendo/ familia njema. Umaskini unavunja ndoa vile vile
 
Haha tunaona huku, mume maskini ptuuu lakini ana manyanyaso hadi unasema huyu angekuwa na hela ingekuwaje? Naona watu wanataka kuongeza kigezo cha hubby material eti awe maskini pyee. Umaskini tangu lini ukawa sifa njema?
Mapenzi ni popote, awe maskini au tajiri maadam moyo wako umependa jitose. Hizi assumption za kwamba eti wenye pesa hawana mapenzi ni za wanaume walioshindwa maisha wanatafuta kivuli cha kujificha
 
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app
At the same time mwanaume anasema wacha nikazanie yule ninaempenda nimuoe, inakua haina maana ni kukimbizana tu huyu anampenda yule, yule anampenda yule, na probability ya kukuta mnaopendana kama unavyomaanisha ni ndogo mno.
 
Hahahhahaah jamani mbona anatapata tabu hivyo; Mungu amsaidie afanikiwe angalau aweze kukuface confidently.
Kweli kabisa!....kwani yuko mbali na mi napoishi basi?[emoji16]....tumetenganishwa na main road tu!

Kabla ya kuanza kunikimbia, nilimsaka mpaka nikajua anapofanyia shughuli zake ( hapo nishapewa storee zake zote kuwa yuko vibaya[emoji1787][emoji1787]) siku nikamuibukia weee! Almanusura azimie[emoji28]....ndo toka siku hiyo akawa ananikwepa!

Mpaka gari yake alikuwa anapaki nje ya ofisi yake, sasa hivi anaifungia ndani ili siku nikipita nijue hayupo...haaahaaa, jamani ni anapata shida huyo, ila kwangu raha[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh huku kwetu kuolewa is everything buana

Back
Top Bottom